Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Umenikumbusha wali wa jirani, mtoto wa sister alikuwa mvivu wa kula sana baada ya muda tuligundua kumbe akienda next door kucheza anapiga menu fresh tu.
Hahaha sifa kujiongeza.
 
Ikiwa za my yako inabidi uumue unhappy wa maandazi saa 12 asubuhi na unachemsha maji ya kunyonyolea kuku na kuchemsha mbaazi, mchuzi wa kuku ukiwa unatokota unakanda unga wa chapati, na kuchomamaandazi
Duh!, breakfast kama vile unaandaa dinner!, Si mbaya kama unatengenezea familia lakini labda weekend.
Kama ni weekday labda vya chap chap.
 
Back
Top Bottom