Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Eeeh bwana! Daby katuchamba hapo eti nyanya sijui kama nini, mweeeeh kaka tu ninae!!!

Basi kama maisha yamerahisishwa hivyo hamna tabu tena,ni kununua tu vifaa alafu taabu kwishney. Sema sasa huwa tunavinunua majumbani mwetu tu ila wazazi wetu hatuwanunuliii.
Kwako wapikia gesi, mzazi wako anapikia kuni, haki Mungu anatuona!!!


Tehe!, tofauti mbona kubwa sana!
Vitu vimerahisishwa sana nowdays kwa kweli.
N' ways tusijisikie vibaya sana lakini, ndo mabadiliko ya dunia haya..
 
Back
Top Bottom