Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

ndo mjifunze kupika sasa, mkisifiwa na sisi tunapata heshima.
Oa mke aliyesomea mambo ya hotelia. Anajua kupika, usafi na kila kitu. Au kabla hujaoa fanya interviews kadhaa ujiridhishe mke anajua kupika la sivyo utakuwa disappointed.
 
Ikiwa za my yako inabidi uumue unhappy wa maandazi saa 12 asubuhi na unachemsha maji ya kunyonyolea kuku na kuchemsha mbaazi, mchuzi wa kuku ukiwa unatokota unakanda unga wa chapati, na kuchomamaandazi
Hii biashara wala nisingeifanya mimi

Na wanione mvivu...sijui kupika na mengineyo

Zamu zangu zote wangegonga chai mkate, mwenye kiungulia ningemtengemtezea uji
 
Na pishi linakuwa chai tu hadi unaondoka, lunch na dinner waandae wenyewe, mie nitakata hata kachumbari.
Hahahahah

Wasichoshe aisee

Mie ukweni nafanya niwezavyo.... nikichoka nasepa taratiiiibu kulala

Ukomando kipensi sitaki mimi

Wenyewe washanizoe (au imewabidi kuvumilia)

Kunyonyoa kuku alfajiri nani anataka?????

Kukuna nazi alfajiri ili kuunga mbaazi nani anataka(wangenisamehe tu....na baridi la kule uwiiiiiiiiiiiii)

Nb.... kuku nitanyonyoa saa nne na mbaazi nitaunga saa nne....vitaliwa na lunch badala ya breakfast

Maandazi napika jioni watanywea chai mengine nahifadhi kwa ajili ya asubuhi

Asiyekula viporo am sorree
 
Hahahahah

Wasichoshe aisee

Mie ukweni nafanya niwezavyo.... nikichoka nasepa taratiiiibu kulala

Ukomando kipensi sitaki mimi

Wenyewe washanizoe (au imewabidi kuvumilia)

Kunyonyoa kuku alfajiri nani anataka?????

Kukuna nazi alfajiri ili kuunga mbaazi nani anataka(wangenisamehe tu....na baridi la kule uwiiiiiiiiiiiii)

Nb.... kuku nitanyonyoa saa nne na maazi nitaunga saa nne....vitaliwa na lunch badala ya breakfast

Maandazi napika jioni watanywea chai mengine nahifadhi kwa ajili ya asubuhi

Asiyekula viporo am sorree
 
Mwanamke ana simu janja tatu, ana magroup ya wasap ya kutosha, yupo kila mtandao facebook, instagram, JF, Twitter, snapchat, badoo etc, anafuga kucha ndefu kama msukule.

Atajulia wapi kupika?
Mke wa hivyo umemchagua wewe mkuu! Naamini atakuwa alikuwa hivyo hata kabla hujamuoa.
.
.
Huyo ni chaguo lakoooo..
 
Back
Top Bottom