Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Ndio Matatizo ya kuokea wazazi. Unakaa kwenu jidume mpka unaoa. Hata kama ni ugumu wa maisha! Maana wazazi wanaweza kuwa na mimali lakini wewe ziro sisi bure kabisa.

Angekuwa na Gheto lake angemshtukisa siku na mapishi badala ya kupanga foreni samaki samaki au kfc tatizo lingejulikana mapema na kurekebishwa.

Sasa binti ataiona nyumba chungu mawifi 3 joblesss ni shidah hiyo.
Hii familia baba yao amewekeza kwenye biashara ya magari na watoto wa kiume ndiyo wanasaidia biashara. Mzee wao amejenga nyumba kubwa na wote waliooa wanaishi na wake zao hivyo hata mwanaume akiwa barabarani wiki nzima anajua mke au familia iko salama nyumbani.
 
Si kwa mashuzi hayo baadae. Nadhani hii story itakua iliishia baada ya tumbo kujaa na kupelekea kutapika
Mbona ni menu ya kawaida mbaazi za nazi na maandazi pembeni mchuzi wa kuku na chapati baada ya hapo hata lunch haina nafasi
 
Haha, kupika nako ni shughuli pevu, inahitaji mtu awe na company ya ku chat au mziki pembeni kusogeza muda
Na hakuna kazi sipendi kama hiyo na dishes.
Acha majungu!! Mtufundishage sasa sio kutusimanga hivyo lol!!!
Majungu gani nimepiga mimi.

Kusimangana hakuishi maana lazima nianze kukushangaa haujui kupika halafu shule baadae.
 
Na hakuna kazi sipendi kama hiyo na dishes..
Kusimangana hakuishi maana lazima nianze kukushangaa haujui kupika halafu shule baadae.


Tehe!, tuko wengi, huwa naona dishes ni bora mara mia.
 
ipy lakini kama breakfast yenyewe ni hivi, sipati picha dinner inakuwaje. Kama hujazoea haya lazima uchemshe.
Ikiwa za my yako inabidi uumue unhappy wa maandazi saa 12 asubuhi na unachemsha maji ya kunyonyolea kuku na kuchemsha mbaazi, mchuzi wa kuku ukiwa unatokota unakanda unga wa chapati, na kuchomamaandazi
 
Hahah sisy zamani rice was a rice na uswazi nyumba fulani wali ukipikwa unajua kwa harufu tu.

Siku hizi wala.
Umenikumbusha wali wa jirani, mtoto wa sister alikuwa mvivu wa kula sana baada ya muda tuligundua kumbe akienda next door kucheza anapiga menu fresh tu.
 
Back
Top Bottom