Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Mapishi yamtoa binti nishai ukweni

Mke wa hivyo umemchagua wewe mkuu! Naamini atakuwa alikuwa hivyo hata kabla hujamuoa.
.
.
Huyo ni chaguo lakoooo..
Ni chaguo lakeeee!!!
Amempenda mwenyewee...
Chaguo lake mwenyeweee
 
Sawa kabisa..na siku nyingine unapika NGARARUMO..hiyo ni breakfast, lunch mpaka dinner! Staki utani mie..
Hahahaaaa!! Utakuwa mchaga wewe, hii kitu niliikuta mahali aiseee!!! Umenifanya nicheke sana.
 
ndomambo gani hiyo ya family kukaa sehem moja namna hiyo mwanaume ukitimiza umr jikatae. sasa hayo maswala ya mapishi siwangemaliza na mme
 
Mke wa hivyo umemchagua wewe mkuu! Naamini atakuwa alikuwa hivyo hata kabla hujamuoa.
.
.
Huyo ni chaguo lakoooo..

Umefanya nicheke hapo ulipomalizia........!!!!

Kwa kweli hilo ni chaguo langu
 
Mim hata siku moja siwezi kumwacha mke wangu eti kisa hajui kupika no ni wajibu wangu kumake sure anajua kupika na kama tumeenda kwa wakwe na najua kuna issue ya kumwaibisha nitamake sure haitokei acha kabisa
 
Back
Top Bottom