jamani thanks sana.. You are mostly welcom mpendwa. Babu hawezi kujua kabisaa itakuwa siri yetu
K i z u n g u z u n g u
barikiwa sana sana mwanangu. nakupenda sana.
Erickb52 hivi visa vyako ni balaa na naomba uachane na mambo yako ya kupenda penda maana wewe kila ukiona kitu kipya tuu unataka hapo hapo upende
Mi nishaacha bana na nataka mwaka mpya huu nibadilike kabisa hata Mungi na Baba V ni shahidi
manoah hongera sana kwa kubadilika na yahitajika kuwa mabadiliko kweli kuanzia JF mpaka uhalisia na maisha ya halisi
measkron La Mujer de mi Vida...
hahahah.....tena mchana huu anajiandaa kurudi home maana nimemwandalia Italian Pizza, Scotch wine na zagazaga nyingine hapa kwa ajili ya lunch....
Duh Erickb52 we kweli ni mzee wa matukio na penda penda mpaka umejua kuwa Lizzy amerudi
stevoh namshukuru Mungu tumeuanza mwaka salama aise. Tuna afya tele na Mungu ni mwema kwetu
manoah safi sana aise. Bora kwa kujitambua na kuelewa wapaswa kufanya nini na kuwa mwema
Endelea na hayo mkuu utafanikiwa
yamekuwa haya....!!!
Ha ha ha kalinisalandia haka kajamaa kumbe kametulia ndo maana sioni PM zake