Arushaone Nimerudi Na Nimejaa tele Ndani Ya JF... Kwa nini niliondoka????? naLOG IN........

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
14,912
2,000
Ndugu Wananchi,

Nimerudi kama nilivyoaga!!!!!!!!!!!!!!!!

Wakasemaaaaa...............Wakachongaaaaa!!!!!!!!!!!!! ....
Nikasema ni LOG IN mara kwa mara ili wasijesema nimepigwa BAN...
Ni kaugonjwa tu kalinipatia kaugonjwa kenyewe anakafahamu Asprin na Elizabeth Dominic ..... Kanaitwa Sidney Sheldon sehemu yenyewe ugonjwa wenyewe ulikonipata ni If Tomorrow Comes na Master of The Game...... Ngoja nitoe ufafanuzi kwani wengine wenu mna vichwa vigumu kama mtani wangu zomba kule siasani yeye ukimwambiia mkewe kajifungua atasema weka picha....hahaaaaaa!!! HUYU JAMAA YANGU KALA BAN LEO(:)
N hivi; mimi ni mpenzi wa Novel za Sidney Sheldon na nikaazimwa mbili If Tomorrow Comes na Master of The Game zote za huyo huyo marehemu Mzee Sidney Sheldon (RIP). Nikawa nalewa na JF daily nikasahau mpaka mwenye vitabu alivyotaka akanipa week 1 niwe nimemaliza nikawaaga na sasa nimeshavimaliza, nimekuja full!!!!!!!!!!!!!!!

Niliaga tarehe 11.11.2012, Remember I didn't say bye forever....
Now I am back!!!! Unabishaaa??? Kalaghabaho.....

Nimekuja na Mzigo wa LIKE na yeyote atakayetajwa anaombwa aweke LIKE yake hapa kwenye thread hii...
<<<WEKA LIKE UPATE LIKE>>>

Habari hizi Ziwafikie
Asprin AshaDii Amyner Arabela Android amu andybird314 Asnam ADK Asulo afrodenzi Aggrey86 Anita Baby AmKATRINA BAGAH Bishanga Blaki Womani Bulldog beibe nasty b-53 Baba V Boflo Bondpost by default Babuu blessed BHULULU BADILI TABIA dubu bird2015 cacico (ingawa umefungiwa) C6 charminglady Cantalisia COURTESY Chibolo Codon Catherine chazal J Ciello Chilli Dark City Dena Amsi Erickb52 eli Edson Z M @Excy eversmiling Gal Eliah G Kamwela (ingawa uko lokapu) Filipo Erotica FP FirstLady1 figganigga mwalimu gfsonwin GECHANYA @ipad3 IGWE Jaslaws Jiwe Linaloishi Judgement jeneneke Kaizer KARIA Katavi Kaunga kapistrano Kipipi Kimbweka King'asti Kongosho King Kong III Kingo KakaKiiza Kapalampya LiverpoolFC Losambo lara 1 Lily Flower Mamndenyi muhanga mtu chake Madabhali Jnr mtundu kise Mabreka Mkuu rombo Mr Rocky Mbuzi Mzee MKATA KIU Mtambuzi mikela Madame B madame X Mtoboasiri MzunguMndali Money stunna Mphamvu marejesho Marekebisho Mkusa MUSSOLIN MAMMAMIA Mtalingolo mathematics mase88 manoah Mungi muuza ubuyu matongo manawa mfarisayo Mentor Majigo Mr Q majany Mtoto halali na hela Mwanyasi mwatamu mwaJ Mzee wa Rula Neylu ney kush Ngeli Nyakwec's Bro Natalia NORTHERN ROCK Nicas Mtei Mzee Mwanakijiji Ngaliba Dume Ndahani ndetichia Nokla PakaJimmy Preta platozoom patience96 pretty n Remmy Rejao Rungu Ruzyfar Rweye Ronn M Ruhazwe JR Ruttashobolwa stevoh Swts Smile Smiles St. Paka Mweusi sweetlady Smiling Saint Shark Suprise snowhite SnowBall Slave The secretary TIQO tedo Udt Sangatit UKI Vin Diesel ummu kulthumu wakati ndio sasa Wozoza watu8 Young Master YouTube Yummy Zinduna zubedayo_mchuzi Zion Daughter zomba (ingawa kala BAN)
Wengine niliowakumbuka names randomly;

@Mwita Maranya @The Boss, @mgaza2001, @The Finest, @Chauro, @Matola, @mama D, @Mshawa, @Thanda, @The Boss, @Mtumishi Wetu, @Nazjaz@mfumo, @Ndukidi Paxman, @WomanOfSubstance, @double R, [COLOR=black [/URL][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=51"]Nicholas[/COLOR] @MwanajamiiOne[COLOR=black [/URL][URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=348"]Kichuguu[/COLOR] @H1N1 moto2012 Albedo @Gaijn HorsePower Imany John Nicholas Kichuguu Bigbro vanmedy BelindaJacob

@EMT, @Tuko @MTM, @Eiyer klorokwini Nyamayao @LD@Maty
Kutoka moyoni mwangu naomba kutambua undugu na urafiki wa dhati kutoka kwenu wote hasa hawa wafuatao kwa k unipigia simu na PMs Mzee Mwanakijiji Chilli MzunguMndali Ruttashobolwa snowhite Madame B Zinduna Preta Arabela Nicas Mtei Nyani Ngabu charminglady Judgement Lateni Bishanga figganigga Mzee wa Rula Filipo Erickb52 beibe nasty LiverpoolFC marejesho Blaki Womani et al.

Kwa dhati kabisa natambua uwepo wa wakuu wetu Maxence Melo Invisible Paw Fang Silencer PainKiller Buchanan Cookie Meezy Roulette na wale wengine ambao hawajanifikia ki cheo. Ahahaa!!

Heshima kwenu wote.....
Haya nipigieni makofi clap clap clap clap!!! Hii ndiyo JF bhana pengine rongorongo.....&#8203;
 

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,664
2,000
Aseee kumbe na wewe ni TEJA LA SYDNEY SHELDON!!!!!!!!!!! Tuko pamoja mazee, soma kitu yake inaitwa AFTER THE DARKNESS ni NOMAAAAAAAA!!!! Mi pia ni teja my favourites ni hawa

Robert Ludlum
Perry Mason (Old School)
Jackie Collins
Danielle Steel
Wengineo
 

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,326
2,000
Nimekupa LIKE hiyo umeiona kaka..??Karibu tena jukwaani,ila nina shaka uliposema wamekupromote kuwa modereta,sioni status yako ikibadilika hapo juu.Ila kama ni kweli wamekupromote nitasikitika sana sababu najua wazi kuwa nitakuwa nimepungukiwa majeshi ya kumshambulia yule mwanasheria feki anayejiita Ruttashobolwa na nitasikitika zaidi kwa sababu nina mpango wa kumchukua mke wa yule jamaa anayejiita bepari kumbe ni muuza ndizi pale urafiki sijui wanamuita Bishanga sijui nani,anyway mkuu Arushaone karibu tena tuendeleze mashambulizi...:majani7::majani7::majani7:.............
 
Last edited by a moderator:

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,326
2,000
Na nimeshukuru sana kusikia kuwa wewe ni Teja la Sydney Sheldon ninakusihi utafute moja inaitwa Doomsday Conspiracy,nimeisoma zamani sana lakini nakuhakikishia siku utakayoikamata basi unaweza hata kusahau kula mpaka ujue mwisho wake.Kila ukurasa unaoumaliza unataka kujua ukurasa unaofuata unasemaje enjoy ursrlf kamanda..
 

mwaJ

JF-Expert Member
Sep 27, 2007
4,075
1,195
lol! kumbe wewe ni mpenzi wa novel enh! haya sema unataka niwe nakuzima za nani? naanza MARIO PUZO, ROBERT LUDLUM, JOHN GRASHAM,SIDNEY SHELDON, JAMES HADLEY CHASE,, ROBIN COOK, NELSON DEMILLE, BELVA PLAIN and more more
Shosti mie naomba za John Grasham tu! Ooops! Kumbe ulikuwa unamwambia Arushaone mzee wa ma-like ya kumwaga! Ila sitanii napenda novels za Grasham!
 
Last edited by a moderator:

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,326
2,000
Mkuu hebu kaugue tena kaugonjwa ka "Doomsday Conspiracy" Wallah kale kaugonjwa katamu sana asee!

Kanaambukizwa na huyu huyu Marehemu (RIP) SS.

Babu ODM siku nilivyoianza hiyo novel hata chooni nilikwenda nayo na sikuiweka chini mpaka nilipoimaliza..Hata kula nilikuwa nagombana na Nyamvula wangu, ananiuliza hivi siku hizi unashiba vitabu......
 
Top Bottom