Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Pole sana kwa taabu inayo kukabili pamoja na watanzania wengine walio kumbwa na hili tatizo. Ukweli ndugu yangu nchi yetu hatukupaswa kuingia kwenye mfumo wa digital kwa ivi sasa, kwani miundo mbinu na hata hali za ki uchumi za wana nchi wengi wa tanzania ni ki kwazo kikubwa na ni mzigo mkubwa, leo hi huu mfumo una msumbua mtu wa dar je? Mtu wa katavi itakuake, kama si ku wanyima wana nchi haki zao za msingi za kupata habari. UN ilsema hadi 2015 japo sina uhakika asilimia mia, ila kwanini sisi tumewahi sana? Nasikia harufu ya 10% hapo.
Ni kama tunavyotaabika na watu wa analogi huku kwetu digitali... taabu tupu...
Ila umecope fasta sana..