Duh... hili bandiko nilikuwa sijaliona. Hongera manoah kwa kuanza mwaka mpya na tabia mpya!!!!!
barikiwa sana mwanangu, Mungu awe msimamizi wa maisha yako leo na hata milele!!
..........."Siyo wote wanaotangatanga wamepotea................"
Hehehee huwa ni upepo tu Mamndenyi
Hivi mzima wewe?
Niliona eti Bishanga anakutaka umeamuaje?
Beba hilo zigo lililomshinda The secretary uone maumivu yake
kuacha tabia za pendapenda(Hapa wahusika mnajijua ila sio Bishanga Mr Rocky sweetlady Vin Diesel Arushaone Arabela )
Copy kwa:
Mungi Asprin FP St. Paka Mweusi PakaJimmy Kipipi snowhite Lily Flower TANMO Filipo marejesho Baba V watu8 Chimbuvu Arushaone SnowBall KakaKiiza nivea mtu chake Preta mwaJ Dena Amsi YNNAH gfsonwin cacico Madame B Zinduna platozoom charminglady C6 Dark City Kaizer Blaki Womani Mzee wa Rula LiverpoolFC Ciello KOKUTONA zumbemkuu lara 1
Teacherrrrrrrrrrr!
Huyu kijana wa kaleta chachu ya mabadiliko
Asante sana Mama yangu mpendwa. Nashukuru sana kwa sala na maombi yako kwangu Mama yangu
Teacherrrrrrrrrrr!
Huyu kijana wa kaleta chachu ya mabadiliko
Afadhali aiseee.ni kweli Erickb52 hata mm naona huu mwaka wa serpent niwe msaliji mzuri zaid na hapa nitaanza kuombea wapendwa wote humu jf kwa nafasi zao, kisha nittaenda hadi jukwaa letu lile nikalipige upako.