Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Last edited by a moderator:
Thanks my brother Erickb52. Mungu Mwenyezi ni Mkuu, kayabadili maisha yangu ndani ya nafsi na nje pia, pia katika jamii ninayo ishi na hata ndani ya JF. Nami pia nina washukuru member kwa uvumilivu wao kwangu hadi leo hii nina sema asante sana. Japo tunatumia avatar na majina sio halisi lakini asilimia kubwa tuyafanyayo na kuya tenda hapa yana weza ku reflect katika maisha yetu ya kawaida.
Maskini Ki-sweet....
usijali my sis niko makini umenifunza vizuri. HE IS my friend
Jamani nyie . . . .mie nimekuwaje mbona mnanisemea kihuzuni huzuni hivyo? lol
usijali my sis niko makini umenifunza vizuri. HE IS my friend
Ndo maana nakupenda sana my kid sis.
Mzima wewe?
mweeh eti wewe ndio waandaliwa mahari na Erickb52....kwa niliyoshuhudia Tanga mmmh sijui!!!
Erickb52 said:Miss you sana Arabela
Nashukuru umemuaachia Arushaone arudi Arusha...naomba namimi nijiexport TA
( babu Dark City asijue eeh)
watu wazima huwa twaiita chenga ya mwili...
Hahahah . . . . sio pasi ya nguo?
Thanks my dear kwako pia upate mafanikio mengi zaidi ya 2012
Ndo maana nakupenda sana my kid sis.
Mzima wewe?