Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,925
- 110,361
Pole sana, basi nenda kalale kwa demu wako Msasani.
kumbe demu wake ndio anakaa mabonde ya mpunga
Pole sana, basi nenda kalale kwa demu wako Msasani.
kumbe demu wake ndio anakaa mabonde ya mpunga
Pole sana, basi nenda kalale kwa demu wako Msasani.
hahaha kaka naona tumeachiwa huu uzi watu wawili tu, ngoja tuhamie nyuzi nyingine...tutaliendeleza kukikucha...
Keshazimika huyo Kipipi. Vipi unao au hauna usingizi?
Hebu mtafute mzabzab mje nae tuwaombee faster
watakubali tu, Chezea CEO wewe...............
Binafsi nimekubali sana jinsi ulivyobadilika sana siku hizi...sijajua ni ban au ni mwaka mpya na maisha mapya au ni Roho Mtakatifu kamshukia jamaa!
Hata umpe maneno gani hachukii na anakujibu kwa upole na upendo then anakubariki.
Naamini wote tutafuata nyao zake ikiwemo kuishi single km padre, kuacha matusi na kashfa (Hapa sitaji mtu), kuacha tabia za pendapenda(Hapa wahusika mnajijua ila sio Bishanga Mr Rocky sweetlady Vin Diesel Arushaone Arabela )
Mi naomba tupendane na tushirikiane.
Kwa waliopotea tuwaombee heri huko waliko.
Hongera sana manoah
Copy kwa:
Mungi Asprin FP St. Paka Mweusi PakaJimmy Kipipi snowhite Lily Flower TANMO Filipo marejesho Baba V watu8 Chimbuvu Arushaone SnowBall KakaKiiza nivea mtu chake Preta mwaJ Dena Amsi YNNAH gfsonwin cacico Madame B Zinduna platozoom charminglady C6 Dark City Kaizer Blaki Womani Mzee wa Rula LiverpoolFC Ciello KOKUTONA zumbemkuu lara 1
barikiwa sana mwanangu, Mungu awe msimamizi wa maisha yako leo na hata milele!!Thanks my brother Erickb52. Mungu Mwenyezi ni Mkuu, kayabadili maisha yangu ndani ya nafsi na nje pia, pia katika jamii ninayo ishi na hata ndani ya JF. Nami pia nina washukuru member kwa uvumilivu wao kwangu hadi leo hii nina sema asante sana. Japo tunatumia avatar na majina sio halisi lakini asilimia kubwa tuyafanyayo na kuya tenda hapa yana weza ku reflect katika maisha yetu ya kawaida.
..........."Siyo wote wanaotangatanga wamepotea................"