Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Erickb52 kuja huku maana nilikurekodi ukiongea na King'asti kuhusu mahari ya Kiperemende...kumbe hujamtaarifu mtoto wa watu...hii tabia hujakoma tu!!!

Kumbe King'asti ndo mpambe wake.
heheheheeee . . . .nicheke ninenepe mie.
Wallah Erickb52 kaingizwa chaka, hizo zinapelekwa moja kwa moja kwenye kile cha Arusha. lol
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom