Last edited by a moderator:
Shemeji wa analogia Pole sana, ila ndo hivo tena, jaribu hii 2013 labda utafanikiwa!!
Acha uchonganishi wajameni Bibi na Bwana wakigombana...........malizia
Licha ya majungu yenu wewe na Mungi na Vin Diesel na nitonye bado ndoa yangu iko imara
Mjue mimi na Dena Amsi hatukukutana barabarani aise
Mi penda sana wewe Dena Amsi