Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,925
- 110,364
Heri ya Mwaka Mpya kwako pia mkuu
Heheheee Arushaone hata upige majungu aje mi kwa Kipipi sibanduki ng'ooooKeshazimika huyo Kipipi. Vipi unao au hauna usingizi?
Hehehehee Mamndenyi ukimwagiwa maji ya betri na The secretary sikupi pole!