Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Mie, nimuumini mzuri sana wa Roman Cathoric na mwenye mapenzi kwa watu wote kwani naamini katika upendo na amani ya kweli vina jengwa ndani ya nafsi iliyo huru kama yangu
siku unataka kufungua kanisa unistue kaka, najua kuhesabu sadaka chapchap bila kulamba vidole.