Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Hapo kwenye Timerland umekosa, mie ni mzee wa SAFARI boot, kadeti napenda langi ya kaki, na shati mikono mifupi likiwa mikono mirefu hua nakunja. T shirt hua sivaagi
Kaka huyu ni dogo mmoja alikua machepele sana anapenda kuvaa boot za Timberland!
 
Hapo kwenye Timerland umekosa, mie ni mzee wa SAFARI boot, kadeti napenda langi ya kaki, na shati mikono mifupi likiwa mikono mirefu hua nakunja. T shirt hua sivaagi

Mzee wa viti virefu mitaa ya K'ndoni hapo hahah....yes ni Saf boots
 
Yap, ni kweli ninaishi mitaa hiyo, ila siku hizi naishi mbezi mwisho na kushinda maeneo ya kazini kwangu, kino napatikana kwa nadra sana. Zamani nilikua napenda sana kwenda matema na masai na nilikua mzee wa heineken tu, ila sikuizi ukitaka nipata njoo kazini au kanisa la mtakatifu joseph mida ya jioni
we kila leo upo mitaa ya K'ndoni hapo
 
Nimeachaga izo vitu, we ukuje nitembele st: Joseph, au katikati ya mwezi njoo mida ya jioni Yami yami au steers iliyopo karibu na ifm tofauti na hapo.. Majaliwa ya mungu. Leo tupo hapa pub mie nilikua nawa chola tu
Mzee wa viti virefu mitaa ya K'ndoni hapo hahah....yes ni Saf boots
 
Yap, ni kweli ninaishi mitaa hiyo, ila siku hizi naishi mbezi mwisho na kushinda maeneo ya kazini kwangu, kino napatikana kwa nadra sana. Zamani nilikua napenda sana kwenda matema na masai na nilikua mzee wa heineken tu, ila sikuizi ukitaka nipata njoo kazini au kanisa la mtakatifu joseph mida ya jioni

Mbezi Mwisho ipi hiyo...
Makondeni, Msigani, Msakuzi, Msumi, Kipasika, Kwa Yusuph, Malamba Mawili, Zone, Kwa Mpipi au???
 
Ulale salama madame B , kesho nitakuletea zawadi

Khaaaaaaa............. tangu ulivoaga bado tu hujaenda kulala, haya Bhana...............
144512.jpg
 
Back
Top Bottom