Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

We naweee ushaanza kuniharibia....!
Hujui tunaenda kwa akina Kiperemende?
Wewe na nivea ndo mtakuwa mawifi wa karibu.
Haya jiandae baada ya upako tunaandamana.
hehehe, pole. Mi thikujua kama umelokoka na wewe. Sasa huo mshiko wa shopping uko wapi, tunaenda kwa watu bila nguo mpya?
 
Last edited by a moderator:
Unafikiri basi hata napata shida, najua kuna mtu sahihi kwa ajiri ya Maureen na mie pia kuna mtu sahihi kwa ajiri yangu.
Hahaha...manoah akisikia hivyo tunamsesha raha hadi maungo ya uzazi yanavaibreti kwa hasira
 
Back
Top Bottom