Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mkuu inashangaza sana mtu ambaye amepata followers laki 7 kwa matusi anapewa airtime ndani ya Taifa kubwa kama Tanzania! Taifa ambalo limechangia Uhuru kwa karibu nchi zote za kusini mwa jangwa la sahara! Huyu mtukanaji anapewa nafasi kweli? Tumejidharau mno!
we usiye na matusi una followers wangap?
 
tulia weye,watz tuko mil 45 + mpk sasa,minus hao laki 7 ni taka tu.mwenzenu anachokonoa serikali ili imclaim aombe ukimbizi,serikali hii hii iliyomnyima ubunge na ukuu wa wilaya aliowazia atapata mitandaoni,badala yake akaishia jela alivyonusa bongo,ni kwamba pale alipotangaza kugombea ubunge,ndoa ilikua matatani sana,kisha kuwekwa ndani ndo kabisa na aliachiwa kwaajili ya watoto haya kurudi us bwana nae anabwaga nyanga,mbaya zaidi mume kachukuliwa na aliekua best friend yake insta muscula girl mmoja hivi toka zim ndo alibeba huyo mume wa mange tena live mchana kweupe,mange alishamtusi sana huyo demu,dem akamchukulia bwana kamtombesha safi tu kisha akamuacha aendelee mbele,
mange aliapa mume wake hawezi kosea akatembea na huyo nyani akimuita,dem akajibu tu okay.
wii ya 2huyo alieitwa gorilla nyani akaonekana yuko na huyo mume wa mange pool,mara dinner,mara home.
na dem aliefanya hivyo wanaishi mji mmoja jirani tu,mange hajathubutu hata kuuliza.

sasa nyie nyumbu mnapofata mkumbo mjue au kuuliza japo destination,nyie mko hapo vumbini likivumbuluka la kupindua nyie wote keko itawahusu,mwenzenu anaomba protection huko aliko.

chomeni tu hizo kadi,badae msije omba ushauri hapa.kumbukeni ni sirikali ya MAKUFULI.
 
Tanzania tuna mengi ya kufanya zaidi ya kila kukicha kuonyesha upumbavu wetu kwa kuhangaika na Mange Kimambi.

Je huyo Mange Kimambi ndiyo:

  1. Amepandisha gharama ya Unga wa Sembe?
  2. Ndiyo kampoteza Faru John?
  3. Ndiyo kashindwa kutatua nini sababu ya ile miili saba ( 7 ) kutupwa kila mara Mto Ruvu upande wa Bagamoyo?
  4. Ndiyo kafanya Elimu ya Tanzania kuwa ICU kwa sasa?
  5. Ndiyo alibuni uwepo wa Wafanyakazi hewa katika Taasisi nyingi za Serikali?
  6. Ndiyo kasababisha hadi leo Mamlaka iwe kimya juu ya kupotea kwa Ndugu Ben Saanane?
  7. Ndiyo kaleta ugumu huu wa Kimaisha tuliona sasa ambao unaelekea kuvunja rekodi?
Na nikusaidie tu ukiona hadi huyo Dada Mange Kimambi kila siku anatoa taarifa tena nyeti basi jua kuwa huko huko zinapotoka kuna matatizo na madhaifu mengi ya Kimaadili na Kiutendaji.
Tisha sana popoma.

Huwa una akili nyingi sema mara nyingi huwa unaziacha home.
 
..mange ni undercover kama lowassa,nimeshtuka mimi!!hawa watu hawaamiki they can switch sides any time
 
Mi nakuunga mkono hata hawa tcra cjui uwezo wao mdogo au wanafurahia huyu dada anavyo tukana viongoz wetu au vp mana imekua kero sasa
 
Athari za malezi ya utoto tunaziona sasa
Kusema kweli kulea ni jambo linalotakiwa kuheshimika hapa duniani, na ninawapa hongera wale wote wanaotimiza wajibu wao mkubwa huu kwa staha na weledi. Ndo maana hata hawa kuolewa inakuwa vigumu sana ama sivyo labda waolewe na wazungu ama wapigwe mimba tu, mke wa hivi si bora ununue redio kaseti!!!?
 
Uyu mlikosea toka 2015 wakati akikashifu mgombea wa upinzani alionekana shujaa leo anaonekana hafai
 
Kumbe ndo maana amekuwa mwehu!
Ana matatizo ya kisaikolojia japo halionekani bayana kutokana na kuwa na kundi kubwa la wafuasi wa aina ile ile, maisha yamewaathiri sana
 
Mbona hata sisi tunatukana hilo lichama?
Mnachafua bahari kwa mkojo, bado ntakunywa hayo kuliko kuiunga mkono ccm b chama la magaidi wasio na mashiko, kazi kupinga hata mambo ya msing wao kupinga tuu ili media ziwape attention, hivi mkipahidiwa asal na maziwa ci mtarudi green party
 
Naomba kuuliza,hivi kadi zinaruhusiwa kuchomwa kisheria? Au zinapaswa kurudishwa kwa chama husika.?


Dr. Slaa ni mwanasheria, hebu tujifunze kwake alifanyaje na kadi zake
 
Kumbe walioish maisha bora kwa kodi za wavuja jasho n weng mpk uyu yumo
Af et leo anakuja na kiki ya kuchoma kad
Io laana haitakaa ikuisheeee
Na wote mliokula jasho la wanyongekipnd cha nyuma nau mna suffer kama sisi mungu awaongezee shda zngne
 
Haya yamechelewa kutufikia yangekuja wakati ule anamtukana Lowassa tungewaelewa poleni sana huyu ni mtu wenu mtajua namna ya kudeal nae kama kumpa cheo, kumeliminate hiyo ni juu yenu.
 
Huu ni mwaka mbaya sana kwa huyo mangi Kimambi,kwani katika mwaka huu tuu,kapigwa talaka na mume wake,Hilary clinton aliyekuwa akimshabikia huko America kashindwa na Donald Trump,maandamano ya UKUTA aliyokuwa amepigia kampeni kwa nguvu hazikufanyika,wadhamini kwenye blog yake wameacha kutangaza nae,Surrogate Mother wake kapigwa chini na Magufuli pale NIMR,hasimu wake wa damu RachelTemu anaolewa na yeye alishasema hatoolewa,na sasa anatoa kali ya kufungia mwaka kwa kuanzisha kampeni ya kuchoma moto kadi ya ccm,chama ambacho mwenyewe alishasema ni kila kitu kwake na kimemsaidia sana katika maisha kwa kuwa baba yake alikuwa sapota wa ccm,duuh! pole sana Mangi,Nadhani katika record zako mwako huu utauweka katika kumbukumbu za miongoni mwa miaka mibaya kwako,kwa kuwa wakati wote ulikuwa upande wa looser.
 
Picha iliyoko kwenye hiyo kadi sio ya Mange, hiyo sauti iliyorekodiwa sio ya mange, hizi ni propaganda za mitandaoni zenye lengo la kuchafua watu.
Inaelekea ata Mange unaemuongelea hapo humjui.
 
Acha wajibu ili wachochee kuni moto uwake tupate kuyajua maovu yao, kama si Mange tungejuaje konda risasi hazichomoki?1 Tungejuaje wanaume wanapiga mgongoni na kwenye makalio wanakwepa kupiga uso kuficha aibu yao? Tungejuaje kuwa kuna watu wanaogopa kupanda ndege wajadai wanabana matumizi? Acha sasa aseme ya hao wengine bana shilawadu tupo kila kona.
 
Back
Top Bottom