Kapata uchizi baada ya kuona maovu yanayofanywa na ccm?! Kipindi kile anamtukana lowasa mlimuita shujaa mwenye elimu ya huu huyu.. Hahaaaaaaa, ana akili sana kuliko wewe mkuu.Chizi huyu anatanga na njia anahangaika.
Kapata uchizi baada ya kuona maovu yanayofanywa na ccm?! Kipindi kile anamtukana lowasa mlimuita shujaa mwenye elimu ya huu huyu.. Hahaaaaaaa, ana akili sana kuliko wewe mkuu.Chizi huyu anatanga na njia anahangaika.
na kwenye page yake swala la Max analiongelea saaana. anasemaga JF yenyewe wanamchambaga yeye lakini ndio uhuru wa maoni...Nimefurahi zaidi alipokumbuka na kutaja jina la Maxence Melo wa JF.
kabla ya hapo alikatwa kwenye umbunge ndipo kaanza mambo.Mange siku hizi namuelewa sana,ndio maana nimepunguza kama sio kuacha kabisa kumuandama kwa maisha yake binafsi kama zamani.
Wanaosema kachoma kadi kisa mama yake Mwele katumbuliwa sikubaliani na nyie japo inaweza kuwa imechangia kwa kiasi kidogo sana.
Hivi harakati za Mange dhidi ya serikali dhalimu ya awamu hii zimeanza leo?
Alianza kwenye bunge live na masuala kadha wa kadha.
Palipo na jema tutoe pongezi pasi na chuki/unafiki.
Nampongeza sana Mange,ni mwanaharakati anayepaswa kuungwa mkono.
Hahahahah......Yaah! Ni mmiliki wa kampuni ya kutengeneza ndege aina ya Boing na ndiyo mmiliki wa flight Emirate na ndiyo mchepuko wa Donald Trump
Nafikiri utakuwa umenisoma
hahahaha ccm ndio wanamjua maana alikaywa kwenye ubunge.Waulize Chadema na Lowassa, wanamjua vizuri sana huyo dada,
Wako watanzania wengi wanaoishi kwa matumaini,walivyoishi enzi za maisha bora kwa kila mtanzania,wakiwa hawana basic needs,sasa wanaishi kwa imani kuwa sasa 2016+ umeme na maji utakuwa bwerereMkuu Mange ndio nani hapa Tanzania?
Are you sure?Devastated woman.....kaachika,hana rafiki hata mmoja maisha yake ni ya stress kubwa mno anagombana january mpaka january anahitaji kupimwa akili.