Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,018
- 142,872
Ever think, since when have umeanza kuwa tomaso?
Duh!
Like wewe ndo unataka kubishana na mimi humu?
Heheheee.....let me just leave you alone.
Ever think, since when have umeanza kuwa tomaso?
ndugu huko ccm angekuwepo mwenye busara hata mmoja wa kuona mambo haya kama unavyo shauri, Max asingeshikiliwa na polisi.huu ni ushari Wa bure kwa ccm. kama mnataka mjikite katika masuala ya kichma ni bora tuhuma ambazo zimekuwa zikiibuliwa ni Mange mkaziacha kuzijibu, kwani Anavyoonekana ataibua nyingi na tens za kutosha, hivyo mnaweza kila siku mkakalia kuita waandishi Wa habari kumjibu.
Hivi fikiria kama ile inayomhusu first leady we utawezaje kuijibu?
Amen RANi mtu mdogo sana kusumbua serikali,dawa yake ni ndogo saana.Walikuwepo wabishi na watukutu zaidi yake,its just the matter of time.FULL STOP
Wale wa kwenye viroba MTO Ruvu ndizo pambio za amani ya TZ yako ya kusadikika ?Tuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..
Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.
HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO