Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Dah! Nimeikumbuka ile kadi ya CCM tuliyopewa kwa lazima nikiwa Korogwe TTC na Profesa Maji Marefu ndani ya Mamba Club ili tu kumuaminisha Kigoda (Mb) wakati huo kwamba waalim wote ni CCM......Kumbaaf wacha niisake iliko namimi niichome mbele ya waandishi wa habari!
 
Kaigeuka CCM sasa hivi anainanga vibaya hebu muulize kuhusu hilo kwa nini amafanya dramatic U-turn kuhusu CCM
 
Mange ni jasiri sana, anajiamini na haogopi. Kuna wakati anatetea na kupigania haki, kuna wakati analeta upuuzi.
-Mange Kupost free Maxence Melo, kukosa mikopo kwa wanafunzi ni moja ya vitu ambavyo namkubali sana Mange kimambi.
**Ni vizuri harakati zake aziendeshe bila matusi kwa vyama, viongozi wa serikali, wasanii na wananchi wa kawaida. "Kufanya harakati sio lazma matusi"
 
Huwa ukawa wanatabia ya kusajili wenye vipaji vya kutukana. Acha aende huko!
 
Iv kadi ina umuhimu gn zaid ya kukufaidisha wewe mwenye kadi iwapo utataka kuchaguliwa.
Mi mbona tangu kuzaliwa sina kadi na huwa napiga kura?!
 
Watu walisema ccm itamfia JK mikononi ila mimi naona kama itamfia mshkaji vile
 
Mimi nadhani haya ni maisha binafsi ya mange ambayo sisi watanzania hayatusaidii kuboresha maisha yetu, cha msingi jibu hoja za mange kwa facts
 
Unapoamua kujiweka uchi kiasi hiki kwenye media as if umetiwa ufunguo inahitaji ushawishi mkubwa kumwaminisha mtu kwamba wewe tayari umebalee, sijuhi hiki kizazi kinakumbwa na shetani gani zama hizi
 
Unapoamua kujiweka uchi kiasi hiki kwenye media as if umetiwa ufunguo inahitaji ushawishi mkubwa kumwaminisha mtu kwamba wewe tayari umebalee, sijuhi hiki kizazi kinakumbwa na shetani gani zama hizi
 
Back
Top Bottom