Nshomba Jr
Member
- Dec 16, 2016
- 23
- 21
Hakuna kuwablocked aendeelee yeye ni JF kwenye social networks
Ndioo....yani nilichekaa, huyu dada aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwa nabaki speechlesshahaha serious mkuu??
hahaha,embu atulie asee wapumzishe watyuu mana anawapa presha kila siku wanawaz ataamka na nan? mam anasumbua huyu ase.Ndioo....yani nilichekaa, huyu dada aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwa nabaki speechless
[HASHTAG]#opereshenichomakadiyaccm[/HASHTAG]Tuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..
Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.
HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO
Ni changudoa aliyekuwa anajiuza pale jolly club zamani leo wanapaita Kisuma lounge, alipata babu wa kizungu aliyekuwa ametembelea Tanzania kama mtalii alimuuzia 071 babu mzungu akaamua kuondoka nae jumla kwenda marekani sasa nayeye anajiona kama Trump.
Malaya mmoja mchafu tu.. Wenzake akina Nasari wanaukubali utawala..kwanza ni akina nani ni wafuasi wake. So far kuna impact gani kwa chama cha mapinduzi kwa kuondoka kwake... Apeleke usagaji wake huko
Mkuu wa jeshi la sungusungu
Mwanachama wa CCM
Wako watanzania wengi wanaoishi kwa matumaini,walivyoishi enzi za maisha bora kwa kila mtanzania,wakiwa hawana basic needs,sasa wanaishi kwa imani kuwa sasa 2016+ umeme na maji utakuwa bwerere
Akisahau chakula tu nishida
Yaah! Ni mmiliki wa kampuni ya kutengeneza ndege aina ya Boing na ndiyo mmiliki wa flight Emirate na ndiyo mchepuko wa Donald Trump
Nafikiri utakuwa umenisoma
Muulize Magufuli anamfahamu nje ndani!!
Toka usingizini, Amka
Msemaji wa chama chake
Msemaji wa chama chake
Ni mtanzania kama wewe mwenye uchungu na nchi yake wewe lala tu.
swissme
Mwananchi wa Tanzania aishiye ng'ambo
Tuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..
Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.
HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO
Yes maana too much
Lakini Mange si alitoa hoja zake wakati anaichoma hiyo kadi ambayo ni mali yake halali ??!! Je hoja hizo ni za kweli ?! Basi mhusika azishughulikie sio kutishia kupoteza watu haitasaidiaAlitaka kumharibia makamba kwa hadith zake za abunuasi
Mkuu siku hizi umeamua kuwageuka lumumba wenzako, chezea kuisoma namba nini!Tanzania tuna mengi ya kufanya zaidi ya kila kukicha kuonyesha upumbavu wetu kwa kuhangaika na Mange Kimambi.
Je huyo Mange Kimambi ndiyo:
Na nikusaidie tu ukiona hadi huyo Dada Mange Kimambi kila siku anatoa taarifa tena nyeti basi jua kuwa huko huko zinapotoka kuna matatizo na madhaifu mengi ya Kimaadili na Kiutendaji.
- Amepandisha gharama ya Unga wa Sembe?
- Ndiyo kampoteza Faru John?
- Ndiyo kashindwa kutatua nini sababu ya ile miili saba ( 7 ) kutupwa kila mara Mto Ruvu upande wa Bagamoyo?
- Ndiyo kafanya Elimu ya Tanzania kuwa ICU kwa sasa?
- Ndiyo alibuni uwepo wa Wafanyakazi hewa katika Taasisi nyingi za Serikali?
- Ndiyo kasababisha hadi leo Mamlaka iwe kimya juu ya kupotea kwa Ndugu Ben Saanane?
- Ndiyo kaleta ugumu huu wa Kimaisha tuliona sasa ambao unaelekea kuvunja rekodi?