Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

ooookyy kumbe alishawahi kuwatukana mkapiga kimyaa, kaitukana ccm mnashikia bendera¿ kama zinafanya kwa ufasaha mgelimwita kigeugeu wala si support mnayomnyima lowassa na kumpa mange,
Mbona hata sisi tunatukana hilo lichama?
 
Kamz
Je unazan kampen hii ya mange inaweza kuleta madhara yoyote. Kumbuka alichangia sana mwaka Jana kupiga kampen za mtandaon kumpigia mh maguful . au mnazan mbinu sahihi ni ipi

Ameandika hiv mange


@Regrann from @mangekimambi_ - It's official, sina chama......
.
.
[HASHTAG]#Opereshenichomakadiyaccm[/HASHTAG]
.
.
Kama na wewe unapinga udikteta wa Magufuli, kama unataka [HASHTAG]#Bungelive[/HASHTAG], kama unapinga kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari, kama unapinga watanzania kunyimwa uhuru wa kujieleza, kama unapinga wabunge wa CCM kupitisha sheria zinazokiuka haki za binadamu, kama umechoka kuona wabunge wa CCM wakisaidia chama na sio mwananchi, kama unapinga MaxMelo wa jamiiforums kukamatwa, kama unapinga Lema kuwa ndani mpaka leo sababu ya maono/ndoto, kama unapinga wabunge wa upinzani kufukuzwa bungeni , kama umechoka na ahadi za CCM , kama umechoka umaskini, kama ni mwanafunzi umerudi nyumbani kwa kukosa mkopo, kama wewe ni mwalimu wa sanaa, kama unasubiria ajira ya serikalini toka mwaka jana, kama biashara yako imekufa sababu ya makodi, kama ulisikitika mwenyekiti wa CCM kupiga panga pesa za mchango wa Kagera, kama umechoka umaskini, kama unataka kuona system MPYA Tanzania in 2020. Kwa kifupi kama umechoka na ungese wa CCM basi ntumie video yako ukichoma kadi yako ya CCM.... Maana wanadhani wanaowakosoa ni wapinzani kumbe wanakosolewa na watanzania wasiojali vyama bali nchi yao..
.
.
Tukitaka kuandama wanatishia kututoa uhai. Kuna njia zingine za kuwaonyesha hatuko nao. Njia moja ndo hii [HASHTAG]#OpereshenichomakadiyaCCM[/HASHTAG]
.
.
Ntumie video yako kwa whatsapp +1 310 855 4352
.
.
.
.

PS: ni kadi ya 2015 coz nilipoteza ya zamani.... - [HASHTAG]#regrann[/HASHTAG]
kamzungumzia lema na mello akamruka Ben saanane!! Hataki kumtaja sababu anajua kuna ukakasi kwenye kupotea kwake. Maskini Ben ndio ashasahaulika hivyo...
 
Kwa sasa macho na akili zetu zote zipo katika kufurahia KING OF THE SOCIAL MEDIA Ndugu Maxence Melo kuachiwa huru kwa dhamana na huyo Mange wako nadhani tutamjadili siku zijazo na pengine ningekushauri tu huu muda ambao unahangaika kumpovukia Mange ambaye yupo miles nyingi tu kutoka hapo ulipo basi ungeutumia kumwambia ambaye kafanya sasa Unga wa Sembe upande bei ghafla atusaidie kutushushia, pia ajitahidi aache Utaalam utawale Kazini na siyo Siasa lakini kubwa kuliko yote umshauri tu kuwa kuzuia FREEDOM OF EXPRESSION na INTERNET FREEDOM nchini Tanzania ni sawa sawa na kuwazuia Wana wa Mungu kuiona PARADISO kwa kusema ukweli na kuwa wawazi.

Ni upuuzi uliuotukuka kabisa Mtu mzima kuhangaika na matatizo ya Mtu aliyepo Ulaya wakati hapa hapa tu Magogoni na Mzizima kuna matatizo lukuki.
 
Hana impact yoyote kwenye chama
Screenshot_2016-12-19-16-05-27.png
impact yake ni kubwa sana mkuu angalia followers alionao..wengi wao ni wadada na ndio waliopigia kura ccm kwa kiwango kikubwa...
 
Back
Top Bottom