mmishenari
Member
- Oct 22, 2016
- 5
- 2
Hivi tz ina aman ipi iyo ya kuteka wasema kwel, ya kuua na kuwaweka kwenye sandarus au wazungumzia aman ya akina faru john
Sio lazima uandike hivyo, jifunze uvumilivu na staha hata kama una hasira, wenzio wanakusoma humuNi mtu mdogo sana kusumbua serikali,dawa yake ni ndogo saana.Walikuwepo wabishi na watukutu zaidi yake,its just the matter of time.FULL STOP
Eti hali ya aman tunayojivunia itadorora,,,,,,,,,aman gan unayosema wakat viongoz wameshika mapanga?,,,,,acha kutuzuga banaTuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..
Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.
HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO
..existance ya zero brains inaongezeka kila kukicha tunashukuru kwa kuprove hiloWe unamuona chizi, lakini amini usiamini ana umaarufu na wafuasi wengi kuliko wewe Mzima
ehehhehe ashindane na faru johnashindane kwa hoja na nani? huyo asiyependa vyama vya siasa? huyo asiyetaka kukosolewa?
Na anafaa kuwa rais kupitia chama chake cha zamani.Basi huyu mtu ni ajabu sana......!!!!
We unajivunia amani ipi? Kuna utulivu tu sio amani! amani ni tunda la haki, Haki ni pamoja na uhuru wa kutoa mawazo na kusikilizwa kama ilivyo kwenye katiba ya JMT! Tusijifanye tunajua sana kutetea upumbavuTuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..
Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.
HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO
Unamwomba udhauri nani? Si ukawaambie magamba wenzako wamfungie?Tuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..
Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.
HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO
Wakati wa uchaguzi huwa zinagawiwa bure Kama njugu..nyinyi watu waoga sana.
..wakichoma kadi si hasara yao wenyewe.
..ukumbuke kuwa hizo kadi walilipia hawakupewa nure
kama kibajaj uongo?Huwa ukawa wanatabia ya kusajili wenye vipaji vya kutukana. Acha aende huko!