Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Ni wazi ataondoka na wavamizi wenzake waliokuwa wanakipaka matope chama.CCM inarudi ktk misingi yake ya ustaarabu na heshima.

Ni imani yangu Polepole na sekretari yote hamtatuangusha ktk kukisafisha chama na kukirejeshea heshima yake iliyopotezwa na watu jamii ya kina Mange!
 
Big up mange naona wana haha matumbo joto! Wanakosa cha kusema Mara ooooh!! Mama mtu mzima ana miaka40 ndo kusema nini sasa hata akiwa na miaka 70 ndo nini?
 
Yaani baada tu ya Mange jana kuchoma kadi yake, kuna maelfu wamerejesha imani kwa chama hicho. Kwa sabahu Mange alikuwa anadhalilisha sana chama chetu hasa kutokana na tabia yake ya kuishi kwa kujiuza huku wakati mwingine amevalia nguo za CCM
 
Hehe tuna safari ndefu sana tena sana ....yaani wewe binafsi huna ubongo wa kuamua mambo yako????
 
Nimeisoma yote, Inaonekana hii interview ni ya muda mrefu sana. pengine labda ilifanyika 2014 kutokana na maelezo.
-Kama kuna interview ya mwaka huu/kipindi hiki tuletee pia tuisome.
 
Ni wazi ataondoka na wavamizi wenzake waliokuwa wanakipaka matope chama.CCM inarudi ktk misingi yake ya ustaarabu na heshima.Ni imani yangu Polepole na sekretari yote hamtatuangusha ktk kukisafisha chama na kukirejeshea heshima yake iliyopotezwa na watu jamii ya kina Mange!
Yaani maamuzi yako yanategemea maamuzi na matendo ya mtu mwingine? Kweli tuna safari ndefu sana.
 
Kampeni ya Mange ya kuwavua magamba ni next level, Regardless ya mapungufu yake kama binadamu but She's brilliant.
 
Huyu dada anawafuasi wengi sana.Nahisi atakuwa ameharibu sana taswira ya Chama hasa kwa vijana wanaomkubali.
amawafuata type zake kama hao ambao kimsingi hata jamii haiwahitaji

upload_2016-12-20_9-47-58.png
 
Ni wazi ataondoka na wavamizi wenzake waliokuwa wanakipaka matope chama.CCM inarudi ktk misingi yake ya ustaarabu na heshima.Ni imani yangu Polepole na sekretari yote hamtatuangusha ktk kukisafisha chama na kukirejeshea heshima yake iliyopotezwa na watu jamii ya kina Mange!
kwa hiyo Mange tu ndo alikuwa anakipaka matope chama chote mpaka ww uone kisafi na kurejea?
 
Back
Top Bottom