Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Ni mtu mdogo sana kusumbua serikali,dawa yake ni ndogo saana.Walikuwepo wabishi na watukutu zaidi yake,its just the matter of time.FULL STOP
Na yeye mtamfanya kama nanihii?? Halafu uandishi wako huu mbona kama vile unafanana na uandishi wa kwenye ile meseji aliyosoma Tundu Lisu????
 
Ni mtu mdogo sana kusumbua serikali,dawa yake ni ndogo saana.Walikuwepo wabishi na watukutu zaidi yake,its just the matter of time.FULL STOP
Na yeye mtamfanya kama nanihii?? Halafu uandishi wako huu mbona kama vile unafanana na uandishi wa kwenye ile meseji aliyosoma Tundu Lisu????
 
Tuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..

Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.


HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO
Kama kawaida yenu kuwablock wakweli yuko wapi
Dr Ulimboka
SAA nane
Max
Lema
Na wengine wakweli ambao wako tayari kufa wakisema ukweli !???
 
Ccm ni wehu sijapata kuona amani ya tanzania wanayo watanzania wenyewe sio ccm inayowanyanyasa miaka 50+
 
Never throw a stone at ever barking dog, you will miss your destination
 
Nakubaliana na hoja ya kupinga uchochezi, napingana na wewe kwenye njia unayopendekeza itumike.
Tunalipa vyombo vya ulinzi na taasisi kufanya kazi zao kitaalam, wamkamate na sheria kuchukua mkondo wake.
Sasa unaposema washabiki wake wakamatwe unawafaham? Wakimblock ndio ataacha kupost vitu vyake?
Anatumia njia au mbinu moja tu kupost mambo yake? Mtaweza kumdhibiti asitumie mbinu nyingine mpya kuendeleza post zake?

Washughulikie shina na mzizi sio kuhangaika na matawi
Kwanza alisema jana hata akitoweka kashamkabidhi mtu mwingine acc yake aendeleze mapambanoo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sioni athari ya huyu Bibi Mange. Hana madhara yoyote waacheni wachome tu.
 
Huu ni ushauri wa bure kwa CCM. Kama mnataka mjikite katika masuala ya kichama ni bora tuhuma ambazo zimekuwa zikiibuliwa na Mange mkaziacha kuzijibu, kwani anavyoonekana ataibua nyingi na tena za kutosha, hivyo mnaweza kila siku mkakalia kuita waandishi wa habari kumjibu.

Hivi fikiria kama ile inayomhusu first lady, mtawezaje kuijibu?
Ngumu kumeza
 
Sema kadi za ccm sio za vyama, uliona kadi ya Chama tofauti na ccm
 
tatizo la watanzania ni ujinga
ccm ilitunyima elimu sasa inatuumiza kiukweli inabidi tuanze na kuwabagua ccm huku mitaani akikujia na njaa zake unamwambia akaombe ofisi za ccm ama magogoni maana wao ndo wanavaa tsht na ubwabwa halafu wanaendelea kutuletea matatizo tukimaliza kuchoma kadi tunawabagua............ mkaombe magogoni wenzenu wanakula kiyoyozi nyie ubwabwa na kanga
 
Japo sijasoma ulichoandika, ila huyu mbibi mnampa umaharufu mavi asiostahili.
Au ni wewe mwenyewe?
 
Back
Top Bottom