Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Huyu Dada ni balaa, nilisoma moja ya post zake kule insta.....wallah nimemkoma.........kama hii ndio njia ya kutuomba msamaha kwa kumtukana mgombea wetu kipindi ile ya Kampeni, basi amekuja na speed Kali.
kwakweli simuelewi,wakati anampigia chapuo Makufuli alikuwa anawaza nini?aende zake huko
 
Hizi kadi si wanaenda kuzifutilia mbali na kuanzisha za kielektroniki ili kuhakiki wanachama wao? Kwa huo usajili mpya sijui kama huyu angepata kadi tena.
Nashauri kila mwenye kadi aichome mbele ya mwenyekiti wao akiulizwa amwambie wewe si umesema tunahamia kwenye kadi mpya na kusajili wanachama wapya?
 
Mange siku hizi namuelewa sana,ndio maana nimepunguza kama sio kuacha kabisa kumuandama kwa maisha yake binafsi kama zamani.

Wanaosema kachoma kadi kisa mama yake Mwele katumbuliwa sikubaliani na nyie japo inaweza kuwa imechangia kwa kiasi kidogo sana.

Hivi harakati za Mange dhidi ya serikali dhalimu ya awamu hii zimeanza leo?
Alianza kwenye bunge live na masuala kadha wa kadha.

Palipo na jema tutoe pongezi pasi na chuki/unafiki.
Nampongeza sana Mange,ni mwanaharakati anayepaswa kuungwa mkono.
 
Back
Top Bottom