Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,937
Nipen # zake kuna kitu cha ziad anatakiwa kupewa huyu mtt wa kike
Nenda kule insta NA uzuri watu kibao wamechomaPicha iliyoko kwenye hiyo kadi sio ya Mange, hiyo sauti iliyorekodiwa sio ya mange, hizi ni propaganda za mitandaoni zenye lengo la kuchafua watu.
Haha hana wapi analo sanaaaHana impact yoyote kwenye CCM kwani alikuwa na Wadhifa gani? Alikatwa Lowassa, ameondoka Kingunge, Mgeja ,Sumaye et al. CCM bado ipo na itaendelea kuwepo. Kwanza yeye nani?? Aende zake huko!!
Anao lakini si riskiHivi una watoto wewe??
Yupo kajaa teleMage yupo humu Jf?
Mambo ya Instagram siyewezi
... anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania..
....kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania...
Tuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..
Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.
HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO
Acha ubinafsiTuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..
Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.
HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO
Freedom of speech muache afanye anachojiskia..Tuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..
Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.
HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO
Tuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..
Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.
HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO
Unamfahamu vizur huyu unayemuita chizi? Au umempima tayari? Usije ikawa wewe mwenyewe ndo una matatizo hayo!Chizi huyu anatanga na njia anahangaika.
MihemkoNi mtu mdogo sana kusumbua serikali,dawa yake ni ndogo saana.Walikuwepo wabishi na watukutu zaidi yake,its just the matter of time.FULL STOP