Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Unasema facts halafu unasema umesikia mange amesoma Dubai, aaaaah ,yes mange she is well educated n raised kwrnye familia bora, that's fact
 
Kwahiyo Mtu Kama Ana Matatizo Yote Hayo - Umasikini, Mikopo Ya Wanafunzi, Kuwa Jela Au Polisi, Kubuma Biashara Nk Anatakiwa Ahamie Chadema ??

Halafu Ni Kwanini Kuna Watu Huwa Wanafikiri Watanzania Wote Wana Vyama Au Wanachama Wa Vya Siasa ?

Kuna Watu Hawajishughulishi Kabisa Na Siasa Za Vyama Vya Siasa, Wana Mambo Yao Tu Na Yanasonga

Mtu Anakwambia CCM Imekufanya Masikini Wakati Yeye Si Masikini Tena Katajirika Ndani Utawala Huo Huo Wa Hao CCM, Sasa Sijui Kama CCM Inabagua Watu Wa Kuwafanya Masikini Na Wengine Tajiri.
Ww jamaa umeongea point sana
 
Mange ana stress ya kuachwa na mabwana ukiungana naye hapana shaka na wewe una stress hizo hizo. Poleni kwa kuachika

Nakufananisha na ka bi dada fulani kanakowashwa na kanasubili to be attended,
Mimi likadi la ilo lichama sina ila kama ningekuwa nalo, kwanza ningekuwa nimelaaniwa na real ningeichoma
 
Bipolar disorder ikoje na dalili zake ni zipi?
Bipolar disorder(Once called manic depression) is a mental disorder characterized by highs(Mania) and lows (Depression).Some people with bipolar disorder are rapid cyclers,meaning they switch moods rapidly;sometimes switching moods very few minutes,sometimes switching them a few times a day.Others don't change as often may be switching moods one a week,for example when manic an individual with bipolar feels powerful,invincible and euphoric.When depressed they are lethargic and feel hopeless.Most children born with bipolar disorder,are very intelligent and artistic
Mfano Mwingine ni wema sepetu anaweza kumpa mtu uchi kisa tu Diamond katoa wimbo mpya
 
Kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiichoma kadi yake ya ccm huku akiongea na mwanae kuhusu mambo ya udikteta Tanzania.
1bc220c42188ac82c80e670133373573.jpg


Muuzaji mzuri.tu
 
stress zake za kuachika anamalizia kwa watu hata hawahusiki na kuachwa kwake!kweli ukioa kitu kama hii unakufa na presha kabisa!huyu hastahili kuishi katika jamii iliyo na wastaarabu
Jamiii ya wastaarabu ipi mkuu?
 
Atashetani nimaarufu na anawafuasi wengi kuliko baadhi ya mitume.
 
Yaah! Ni mmiliki wa kampuni ya kutengeneza ndege aina ya Boing na ndiyo mmiliki wa flight Emirate na ndiyo mchepuko wa Donald Trump

Nafikiri utakuwa umenisoma
[/QUOTEhaaha nimependa jibu lako
 
Ni kweli ni maarufu sana ila ni kahaba alichanganyikiwa,hajui hasa nin anataka duniani
 
Kuchoma kadi then wanachama wanapungua? Watu walihama chama wakati wa uchaguzi lakini chama kwanza kinastawi.
Lowasa alihama na wanachama lakini wapi chama kiko imara kama ngongoti.
Operation,sangara,m4c,ukuta,zilipangwa lakini chama bado ni mhimiri imara usioyumba eti mange kachoma kadi,nae anahisi kafanya hot issue.she knows nothing ccm.
 
We unamuona chizi, lakini amini usiamini ana umaarufu na wafuasi wengi kuliko wewe Mzima
Mi mmoja wa followers zake na haishi kuni amaze!anajua kufunguka ya rogono na hatafuni maneno !
Mfano anaye mwita chizi hapo kwa post yake tunayoijadili hapa wapi anekwenda vibaya?nafikiri kwa wanaokwaza na matendo ya serikali haswa ccm wenzake hii ni njia salama!
Na ifikie wakati wananchi kwa ujumla wetu tufanye "virtual maandano"
 
Back
Top Bottom