Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

kwa kifupi alijisumbua kuchoma kwanza yeye nani kwenye inchi hii na ametoa faida gani hana msahada gani inshort dada anatafuta kiki kilazima atulie apigwe mjengo na mdosi wake na kama mjanja aje bongo
 
Kule wana utawala wa haki na sheria. Ukishapata green card, no body can revoke it! Huwezi kumwambia mtanzania kuwa wewe si mtanzania, !!! huwezi kumwambia mwamerika kuwa wewe siyo mwamerika. She is a USA citizen/national!
Siku akithubutu kuja home atagombaniwa kama mpira wa kona tena mchana mchana .
 
Huyu Dada ni balaa, nilisoma moja ya post zake kule insta.....wallah nimemkoma.........kama hii ndio njia ya kutuomba msamaha kwa kumtukana mgombea wetu kipindi ile ya Kampeni, basi amekuja na speed Kali.
Yaani huyu nahisi siku akitia maguu bongo anaweza kupotelea airport maana hana mpinzani katika kutoa yake ya moyoni bila uonga kitu ambacho kinapingana sana na falsafa ya nchi hii kwa sasa.,,, ni hisia zangu tu lakin
 
Watu watakiwa kutuma video wakichoma kadi zao kwa njia ya whatsup..

Kama upo CCM na unapinga swala la MAX kuwa kizuizini tafadhali muunge mkono..

Atafanikiwa?


2fe796c19889d3f1b20f2143021d6cfb.jpg



Video Below



Mkuu Mange ndio nani hapa Tanzania?
Ni mwanaharakati mwenye ushawishi mkubwa sana

Ni jeshi la MTU mmoja

[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
 
Kule wana utawala wa haki na sheria. Ukishapata green card, no body can revoke it! Huwezi kumwambia mtanzania kuwa wewe si mtanzania, !!! huwezi kumwambia mwamerika kuwa wewe siyo mwamerika. She is a USA citizen/national!

Ndio maana watanzania hatutaki kuruhusu uraia wa nchi mbili.Wabaki huko huko na Trump wao.
 
Naomba kuuliza,hivi kadi zinaruhusiwa kuchomwa kisheria? Au zinapaswa kurudishwa kwa chama husika.?

Nitoeni tongotongo mwenzenu.
Nafikiri ukinunua kitu ni mali yak o. Navyo fikiri hizo kadi zinauzwa ktk ofisi za CCM, na kama zinauzwa unaweza kufanya unavyotaka. Hivyo ndivyo navyojua
 
Ndio maana watanzania hatutaki kuruhusu uraia wa nchi mbili.Wabaki huko huko na Trump wao.
Lakini Huyu dada si alikuja kupigania uongozi katika nyadhifa ndani ya CCM kipindi kile?? Kwani wana CCM hawakujua ana uraia wa USA?
 
Back
Top Bottom