Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Tuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..

Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.

HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO
Tanganyika ndio ilipata Uhuru wa Amani siyo Tanzania.
 
Nonsense, kwa kosa lipi, you must be crazy!
 
Akili ndogo kazi sana kuelewa!!

Kwanini mleta mada usiishauri serikali yako itatue kero ambazo hufanya hadi mange kuwa na wafuasi wanao mwamini!! Tena wafuasi wa insta ni wasomi sio watoto wadogo.!!

Ukiondoa hayo matatizo mange atakosa cha kuandika!! Mwacheni mange aendelee, inatusaidia hata sisi tusio na misimamo ya chama kuona how big the problem is.
 
Maisha yamemshinda?!!.mamaako ndo anamlisha kwa sasa??
 
Tuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..

Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.

HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO
Its better to be violents.if there is violence in our hearts ,than to put on the cloak of nonviolence to cover impotence .
 
kuchoma kadi za chama ni sawa na kuchoma nyama ya kuku tu sema majina ndo tofauti (kuku choma,na kadi choma)
A see Jaby'z hizo sharubu zimekuongezea Maneno ya busara.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Kweli akili ni sharubu cuz hata sharubu ni nywele....Nipatie kadi choma na Pepsi baridi please....
 
Mbona alipokuwa anamtukana lowasa hamkusema hahahaaa.....ficiemu bwana!!!
 
Umaarufu utumbo,hana lolote, ni frustrasion ya maisha,kapewa talaka na muzungu,kazi hana, umalaya haimlipi ni mkubwa ki umuri[emoji13]
Mbona alishapata mwingine NA kahamia sehemu nzuri juzi juzi tu
 
Kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiichoma kadi yake ya ccm huku akiongea na mwanae kuhusu mambo ya udikteta Tanzania.

1bc220c42188ac82c80e670133373573.jpg

hajitambui huyu dada, kukaa nje ya nchi isimfanye alete mbwembwe nyingii. Usikute na yy au familia yake ni wanufaika wa ufisadi.
 
Du! Naona kampeini zinaanzia huku, maana walipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa.
 
Muacheni apayuke tuu lakni CCM wanalala na yao yanaenda...
Kama wanalala mbona Mwendo wa kobe/Slow slow ameanzia kazi ya uenezi na itikadi kwa MTU huyo?Polipoli kaanzia international kazi ya uenezi na kusahau kuwa chama kipo hapa kwetu.[emoji4]
 
Back
Top Bottom