Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mimwenyewe nimechoma maana nimegunduwa chama cha mafisi nichama cha shetani maana baba jesika alikuta kunaishi kama malaika sasa anataka tuishi kama shetani
 
Tuache ushabiki wa vyama vya siasa mbali, Huyu mama anaeitukana na kuchochea negative perception serikali ya Tanzania inabidi awe blocked kabisa kea watumiaji wa social networks wasiweze kumuaccess..

Nkiongea kwa machumgu, jana alianzisha kampeni ya kuchomesha kadi za chama cha mapinduzi na hazikupita dakika baada ya kuanza kupost video nyingine za watanzania wanachoma kadi za chama, Kuchoma kadi za chama iwe ni ccm ama chadema ni kitu kinachoweza kuchochea vurugu za kisiasa na mwishowe hata hali ya amani tunayojivunia ikadorora.
Kuishi kwake Maerkani ndio ameona ni kinga sahihi ya kuitukana na kuisengenya(sio kuikosoa) serikali ya Tanzania huku akiwa na wafuasi wengi sana wanaomsikiliza na kumwamini, Kwa sasa ana followers zaidi ya laki 7 kwenye mtandao maarufu wa instagram, Naomba uvute picha tu hivi kama amefikia stage ya kuwafanya wafuasi wake wachome kadi hivi huko mbeleni si anaweza akaleta balaa zaidi.
kitu ambacho huyu mama mtu mzima mwenye miaka 40 anachotaka ni nchi kuvurugika, Na vurugu zikitokea wataoumia ni watu tunaoishi ndani ya Tanzania na sio yeye aliye marekani.


HII TANZANIA ILIPATA UHURU KWA AMANI, TUMETEKETEZA VITISHO VYOTE VILIVYO TAKA KUHATARISHA AMANI NA HATUPASWI KUDUMISHA NA KUENDELEZA HALI YA AMANI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VIJAVYO. NAIPENDA NCHI YANGU NA NNAJIVUNIA AMANI ILIYOPO
Tuna mtu tayari anashughulikia tatizo lake alipo tupo hasihofu
 
Ww mwenyewe moja ya followers wake.Acha unafki we nyinyiemu
 
Hoja ndio hamtaki kuzisikia na majukwaa ya kutoa maoni hamyapendi pia...so Mwache Mange akae huko aliko awashushie nyundo za maana kwenye utosi wenu maumivu yawaingie kama namna mnavyowatesa wengine hapa nchini....Endeleee kuumizwa ndugu ila vumilia kama sisi tunavyovumilia ukakasi wenu hapa nchini
 
Unadhani chadema anauwezo wa kuongoza nchi??
Hatuwezi kuuza nchi yetu kwa kuwakabidhi wapiga deal waongoze nchi?
Usafi wa mtu unaanzia yeye mwenyewe kisha ndani kwake.
Chama kina nusu karne kina nini cha kujivunia? ??
Muulize mleta hoja analalama nini, kinyago cha mpapure. Wapenda sifa feki hapo mwanzo alikuwa mzuri leo mndharau subirini atabadirika tu.
 
Mange ana mapungufu yake mengi tu lkn kwa hili analolifanya sasa hivi ni sawa kabisa! mana kila mtu kafungwa mdomo ila yeye inabidi aokoe jahazi
 
Kuchoma kadi na kusema "I want freedom of speech in Tanzania" ni matusi??? Haya nayo ni maajabu,ngoja awape fact
 
Kwa kosa gani?? Na kama kosa lipo alitenda hilo kosa akiwa taifa gani?? Na hilo taifa sheria zake zinasemaje!!!!?
 


Watu watakiwa kutuma video wakichoma kadi zao kwa njia ya whatsup..

Kama upo CCM na unapinga swala la MAX kuwa kizuizini tafadhali muunge mkono..

Atafanikiwa?


2fe796c19889d3f1b20f2143021d6cfb.jpg

Kwani wapinzani hawana kadi za ccm? Sijaona mh lyatonga akirudisha kadi
 
Back
Top Bottom