jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,368
Mange mwenda wazimu
Sindano imeingia tulieni hivyo hivyo
Watu walimuona mjinga ila ninyi akiwa kipenzi chenu
Sasa msimuite mwendawazimu jibuni hoja zake zote
Baas
Mange mwenda wazimu
Tena sindano yenye kutu, namba wanaisomaSindano imegusa mfupa
Hahahaaaaaa
Subiri hapohapo wanakuja kukuunganisha na lema.Kote umeongea pumba ila mwisho hapo unadhani kuna mtu asiyependa huyo sijalibiwi ashindwe ikibidi afe tu kama ndoto ya Lema ilivyo?
Wakati mnarepost video za push ups alizokuwa anapost insta mlijiuliza maswali yote haja. Au mnataka kujitoa akili sasa hivi......mwendo ni kuchoma kadi tu.Who is mange kimange?? Anaishi tz hapa?? Anatibiwa hospital za tz hapa?? Alipiga kura?? Alikuwa na mchango gani ndani ya chama?? Mara ya mwisho alilipia lini kadi yake??ana mchango gani kwa taiga?? Ameshawahi kuwa hata Kiongozi wa mtaa??
Unaongozwa na chama gan nduguHata ukimdharau hauwezi kufuta ukweli, CCM mmeshindwa kuongoza nchi.
hata baba yako ndani ya nyumba huwezi kumkosoa,mkubwa hakosei ila anapitiwa kidogo tuashindane kwa hoja na nani? huyo asiyependa vyama vya siasa? huyo asiyetaka kukosolewa?
kama ulikuwa mwizi ukatumbuliwa lazima usema hivyo,lakini kwetu ss wa vipato halisi maisha burudani kabisaHata ukimdharau hauwezi kufuta ukweli, CCM mmeshindwa kuongoza nchi.
siyo bavicha?Madharau ndiyo jadi yenu uvccm
Harudi ng'ooooooHuyu dada yetu ambaye maisha ya ughaibuni yamemshinda, eti sasa anafanya kampeni ya kijinga ya kuchoma kadi za vyama vya siasa. Kwanini asirudi Tanzania aje afanye siasa za kistaarabu za kujenga hoja???
Ajitokeze hadharani, aache kujificha chini ya kivuli chake.
Usiseme kadi za vyama as if hujaona ni kadi moja na ya chama gani?Huyu dada yetu ambaye maisha ya ughaibuni yamemshinda, eti sasa anafanya kampeni ya kijinga ya kuchoma kadi za vyama vya siasa. Kwanini asirudi Tanzania aje afanye siasa za kistaarabu za kujenga hoja???
Ajitokeze hadharani, aache kujificha chini ya kivuli chake.
Wewe unaongoza nini?Hata ukimdharau hauwezi kufuta ukweli, CCM mmeshindwa kuongoza nchi.
Ni uhuru wake, kinacho kuuma sana ni kitu gani? We endelea na ushabiki wa chama chake, na yeye amekwambia hati chama Chochote.Huyu dada yetu ambaye maisha ya ughaibuni yamemshinda, eti sasa anafanya kampeni ya kijinga ya kuchoma kadi za vyama vya siasa. Kwanini asirudi Tanzania aje afanye siasa za kistaarabu za kujenga hoja???
Ajitokeze hadharani, aache kujificha chini ya kivuli chake.