Jina lake litakusaidia nini sasa?Sielewi jina lake vizuri ni Mange Kimambi au Mange Kimavi? Jina lake halisi ni lipi?
Wapo jeuri kuliko huyo dada na sasa hivi kimya!!!!kuna jeuri kuliko simba? Sharubu zake zinachezewa!!!!Muite chizi ila subiri muitikio wake
Simba yupi?Kama mnyama basi pole sana,mtoto mjinga ni mzigo kwa mama yakeWapo jeuri kuliko huyo dada na sasa hivi kimya!!!!kuna jeuri kuliko simba? Sharubu zake zinachezewa!!!!
Ukinunua Nguo , je unaruhusiwa kuichana kisheria au?Naomba kuuliza,hivi kadi zinaruhusiwa kuchomwa kisheria? Au zinapaswa kurudishwa kwa chama husika.?
Nitoeni tongotongo mwenzenu.
Hali kwako,hanyi kwako,halali kwako,hahitaji chochote kwako sasa ukimdharau weka siri moyoni mwako na zaidi mshirikishe mumeo,mbona kadi kibao zimeshawahi kuchomwa husemi,jisepee kivyakovyakoHuyu dada yetu ambaye maisha ya ughaibuni yamemshinda, eti sasa anafanya kampeni ya kijinga ya kuchoma kadi za vyama vya siasa. Kwanini asirudi Tanzania aje afanye siasa za kistaarabu za kujenga hoja???
Ajitokeze hadharani, aache kujificha chini ya kivuli chake.
wewe ni kibaraka wa mange??
Waliondoka wakina kingu na El mzee wa vyente ....atakuwa huyoBasi subiri tuone na kwa jinsi jokolilo alivyomuudhi mzee malecela mda si mrefu lazima mpate pigo takatifu
Waliondoka wakina kingu na El mzee wa vyente ....atakuwa huyoBasi subiri tuone na kwa jinsi jokolilo alivyomuudhi mzee malecela mda si mrefu lazima mpate pigo takatifu
Umesikika,nenda kwenye instagram yake!Tayari watu wameitikia na wanachoma na kumtumia halafu yeye anapost!Umaarufu utumbo,hana lolote, ni frustrasion ya maisha,kapewa talaka na muzungu,kazi hana, umalaya haimlipi ni mkubwa ki umuri[emoji13]
Ha ha ha amekuja kivingine..kwangu Ni kigeugeu..
We sema chizi,wakat ana wafuas wengi nyuma yake