turbocharger
Member
- Dec 14, 2016
- 52
- 67
Hehhehe wewe epanik na posho za lumumba wewe huna kituPicha iliyoko kwenye hiyo kadi sio ya Mange, hiyo sauti iliyorekodiwa sio ya mange, hizi ni propaganda za mitandaoni zenye lengo la kuchafua watu.
Hehhehe wewe epanik na posho za lumumba wewe huna kituPicha iliyoko kwenye hiyo kadi sio ya Mange, hiyo sauti iliyorekodiwa sio ya mange, hizi ni propaganda za mitandaoni zenye lengo la kuchafua watu.
Kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiichoma kadi yake ya ccm huku akiongea na mwanae kuhusu mambo ya udikteta Tanzania.
![]()
Devastated woman.....kaachika,hana rafiki hata mmoja maisha yake ni ya stress kubwa mno anagombana january mpaka january anahitaji kupimwa akili.
Kaachika ni kweli lakini mambo anayoongea ni ya kweli kabisa na has the power to make Magufuli change his mind.Devastated woman.....kaachika,hana rafiki hata mmoja maisha yake ni ya stress kubwa mno anagombana january mpaka january anahitaji kupimwa akili.
tehteh...au kwakuwa kachoma kadi ''pendwa''?Mange mwenda wazimu
Hivi una watoto wewe??Hana impact yoyote kwenye CCM kwani alikuwa na Wadhifa gani? Alikatwa Lowassa, ameondoka Kingunge, Mgeja ,Sumaye et al. CCM bado ipo na itaendelea kuwepo. Kwanza yeye nani?? Aende zake huko!!
wakati unachamba tupia na kapicha tuone kalioMimi Ningeichambia hadharani
Vijana wengi sana wanamkubali kwasababu anaonge vitu vyenye mantiki ya hali ya juu na hakuna mtu yoyote mwenye guts za kumueleza huyu raisi ukweli. Watu wenye taaluma zao ambao wanatoa ushauri halafu raisi anawatumbua believe me kuna watu wengi wangetamani kuwa huru kama huyu dada kuikosoa serikali lakini wanaogopa. Hata wabunge wote wamewekwa maji midomoni. Magufuli asipobadilika ataipeleka hiyo nchi mahali ambapo yeye na vizazi vyake vyote watakuja kujuta. MANGE MWACHENI ANASAIDIA SANA HAWA WATU WA UPINZANI KWANI KWA SASA HAWANA JINSI ZAIDI YA KUCHOMA KADI ZA CCM. I USED TO ADORE MR PRESIDENT LAKINI SASA KWA KWELI ANAVUKA MIPAKA. SWALI LANGU KWA NINI DR. MWELE ALITUMBULIWA? KWA NINI MAFURU ALITUMBULIWA? HAWA NI WATAALAMU KATIKA SEKTA ZAO LAKINI ANATAKA WOTE AWAZIBE MIDOMO WHY?We wamuona chizi lakini ujumbe anaopeleka kwa wafuasi na wasomaji wa social media unaweza kuwa na impact hasi kwa status quo!
Juzi kwenye harusi watu wanakataa kusikia sauti tu! Leo huyu anachoma kadi bayana mtandaoni! Funguka bro, jana sio leo.
tumpe nani?lakin sio matapeli ya chademaHata ukimdharau hauwezi kufuta ukweli, CCM mmeshindwa kuongoza nchi.
Mkuki kwa nguruwe....
Unadhani chadema anauwezo wa kuongoza nchi??
Hatuwezi kuuza nchi yetu kwa kuwakabidhi wapiga deal waongoze nchi?
Usafi wa mtu unaanzia yeye mwenyewe kisha ndani kwake.
Chama kina nusu karne kina nini cha kujivunia? ??
usiumize kichwa, kwanza huyo sio Mange, pili hiyo kadi ni feki, kadi hizi zilitengenezwa na wafuasi wa Lowasa kuchakachua kura za maoni, kadi ya CCM sio kijani kibichi, kadi ya ccm original inakuwa na nyuzinyuzi na sio hiyo inayoonekana tena hiyo kadi haina stakabadhi ya malipo.Vijana wengi sana wanamkubali kwasababu anaonge vitu vyenye mantiki ya hali ya juu na hakuna mtu yoyote mwenye guts za kumueleza huyu raisi ukweli. Watu wenye taaluma zao ambao wanatoa ushauri halafu raisi anawatumbua believe me kuna watu wengi wangetamani kuwa huru kama huyu dada kuikosoa serikali lakini wanaogopa. Hata wabunge wote wamewekwa maji midomoni. Magufuli asipobadilika ataipeleka hiyo nchi mahali ambapo yeye na vizazi vyake vyote watakuja kujuta. MANGE MWACHENI ANASAIDIA SANA HAWA WATU WA UPINZANI KWANI KWA SASA HAWANA JINSI ZAIDI YA KUCHOMA KADI ZA CCM. I USED TO ADORE MR PRESIDENT LAKINI SASA KWA KWELI ANAVUKA MIPAKA. SWALI LANGU KWA NINI DR. MWELE ALITUMBULIWA? KWA NINI MAFURU ALITUMBULIWA? HAWA NI WATAALAMU KATIKA SEKTA ZAO LAKINI ANATAKA WOTE AWAZIBE MIDOMO WHY?
Unamdharau we nani kwake?Huyu dada yetu ambaye maisha ya ughaibuni yamemshinda, eti sasa anafanya kampeni ya kijinga ya kuchoma kadi za vyama vya siasa. Kwanini asirudi Tanzania aje afanye siasa za kistaarabu za kujenga hoja???
Ajitokeze hadharani, aache kujificha chini ya kivuli chake.
Lini na wapi Chadema ilipewa ridhaa kisha ikawatapeli?tumpe nani?lakin sio matapeli ya chadema
Hahahahahahahaaaaa Mimi nimekuelewaashindane kwa hoja na nani? huyo asiyependa vyama vya siasa? huyo asiyetaka kukosolewa?