Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mimi nataka niibe kadi ya mama na ya dada ni za ccm.... Zote nizichome kwa moto wa tanuri!!!.

[HASHTAG]#Bring[/HASHTAG] back ajira#
 
Naomba kuuliza,hivi kadi zinaruhusiwa kuchomwa kisheria? Au zinapaswa kurudishwa kwa chama husika.?

Nitoeni tongotongo mwenzenu.

Kwani kadi ni mali ya nani? Kama ni mali ya mtoaji basi inatakiwa kurudishwa kwa mtoaji.
 
Yule dada anatafuta analake anajua akikashifu serikali siku ya kutaka kurudishwa anasema Mimi wanted Tz wazungu wanathamini hicho kitu hawatomrudisha anagalieni Sana watz mnaomsapoti huyu dada mwenzenu ananjijengea yake wewe fwata mkumbo
Ndio maana mmemkamata Max ili mjue tunaomfuata mtuue siyo?hafi mtu
 
Ni kawaida sana kwa vyama vya upinzani kuwa na watu wenye kauli na matendo ya ajabu ajabu kama huyo Dada! Anafiti sana huko alikokwenda just imagine mtu kapata umaarufu kwa kutukana na kudhalilisha wenzake? Hatuhitaji MTU kama huyo ccm. Wana ccm tunashangilia sana kuondokewa na MTU kama yeye!
 
Unasema facts halafu unasema umesikia mange amesoma Dubai, aaaaah ,yes mange she is well educated n raised kwrnye familia bora, that's fact
Na kwamba yy hamfikii mange kwa elimu na uzuri,kwa maana yy anamalezi ya kilumumba maisha hayaendi bila kujipendekeza
 
Tukusaidie nini sasa?
Anachoma kazi za ccm siyo vyama vya siasa.
Mfate ulikoona hiyo kampeni umwambie.....
 
Anatafutwa shetani aje azime mataa ya jumba hili.. Yangu macho
 
Kuchoma kadi then wanachama wanapungua? Watu walihama chama wakati wa uchaguzi lakini chama kwanza kinastawi.
Lowasa alihama na wanachama lakini wapi chama kiko imara kama ngongoti.
Operation,sangara,m4c,ukuta,zilipangwa lakini chama bado ni mhimiri imara usioyumba eti mange kachoma kadi,nae anahisi kafanya hot issue.she knows nothing ccm.
Sasa hapa unamlalamikia nani?
 
Chizi huyu anatanga na njia anahangaika.
Umeshindwa kutumia neno la staha kwa mwenzako?Siku ukiitwa chizi kwa kuwa tu hujawapendeza wakuitao utafurahi?
Jirekebishe
 
Hata ukimdharau hauwezi kufuta ukweli, CCM mmeshindwa kuongoza nchi.
Unadhani chadema anauwezo wa kuongoza nchi??
Hatuwezi kuuza nchi yetu kwa kuwakabidhi wapiga deal waongoze nchi?
Usafi wa mtu unaanzia yeye mwenyewe kisha ndani kwake.
Chama kina nusu karne kina nini cha kujivunia? ??
 
Back
Top Bottom