Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Kwa sasa macho na akili zetu zote zipo katika kufurahia KING OF THE SOCIAL MEDIA Ndugu Maxence Melo kuachiwa huru kwa dhamana na huyo Mange wako nadhani tutamjadili siku zijazo na pengine ningekushauri tu huu muda ambao unahangaika kumpovukia Mange ambaye yupo miles nyingi tu kutoka hapo ulipo basi ungeutumia kumwambia ambaye kafanya sasa Unga wa Sembe upande bei ghafla atusaidie kutushushia, pia ajitahidi aache Utaalam utawale Kazini na siyo Siasa lakini kubwa kuliko yote umshauri tu kuwa kuzuia FREEDOM OF EXPRESSION na INTERNET FREEDOM nchini Tanzania ni sawa sawa na kuwazuia Wana wa Mungu kuiona PARADISO kwa kusema ukweli na kuwa wawazi.

Ni upuuzi uliuotukuka kabisa Mtu mzima kuhangaika na matatizo ya Mtu aliyepo Ulaya wakati hapa hapa tu Magogoni na Mzizima kuna matatizo lukuki.
Yupo Marekani.
 
We mdharau tu lakini Wananchi wana namna mbali mbali ya kuonyesha frustrations zao pale ambapo hawakubali na mambo mbali mbali yanayoendelea nchini mwao. Hivyo wengi hufanya viti mbali mbali ambavyo wewe unaweza kuvikubali au la. Kuna siasa za kistaarabu Tanzania wakati vyama vya upinzani vimepigwa marufuku kufanya shughuli zao mbali mbali za kisiasa nchini kwa miaka mitano? Kuna siasa za kistaarabu nchini wakati wabunge wa upinazani wanafukuzwa kienyeji Bungeni kwa visingizio uchwara visivyo na kichwa wala miguu? Kuna siasa za kisttarabu pale ambapo mtawala yuko busy kufanya mikakati ya kuidhoofisha UKAWA kwa hali yoyote ile ikiwemo hata msajili kukiuka katiba za vyama husika ili tu watimize mradi wao wa kuvidhoofisha!? Tafakari kwa kina alichokifanya Mange kinaweza kabisa kufanywa na Watanzania wengi sana ambao hawaridhishwi na huu utawala mbovu..

Huyu dada yetu ambaye maisha ya ughaibuni yamemshinda, eti sasa anafanya kampeni ya kijinga ya kuchoma kadi za vyama vya siasa. Kwanini asirudi Tanzania aje afanye siasa za kistaarabu za kujenga hoja???

Ajitokeze hadharani, aache kujificha chini ya kivuli chake.
 
Bahati mbaya Likadi la ccm sina na sikuwai kuwanalo, Ningelichoma kwa mafuta ya petrol
 
Hapana.Umefanya kosa kubwa sana kumdhihaki Rais wetu kwa kumu-address kama "MUNGU".UTAKUWA UMETENDA DHAMBI MARA MBILI.KWANZA KWA KUMKOSEA HESHIMA NA UTUKUFU MUNGU WETU HALISI AMBAYE NDIYE MUUMBA WA KILA KITU(KUMBUKA KWAMBA MUNGU HALISI NI MUNGU MWENYE WIVU)USILITAJE JINA LAKE OVYO NA KUMLINGANISHA NA KIUMBE CHOCHOTE.pili, UMEIDHARAU "MAMLAKA"ILIYOWEKWA NA MUNGU DUNIANI.HIVYO HATA KAMA ULIKUWA NA HOJA YENYE NGUVU YA KUMKOSOA RAIS,UMEHARIBU MAANA YOOTE PALE ULIPOMUITA RAIS "MUNGU".
 
Kwa sasa macho na akili zetu zote zipo katika kufurahia KING OF THE SOCIAL MEDIA Ndugu Maxence Melo kuachiwa huru kwa dhamana na huyo Mange wako nadhani tutamjadili siku zijazo na pengine ningekushauri tu huu muda ambao unahangaika kumpovukia Mange ambaye yupo miles nyingi tu kutoka hapo ulipo basi ungeutumia kumwambia ambaye kafanya sasa Unga wa Sembe upande bei ghafla atusaidie kutushushia, pia ajitahidi aache Utaalam utawale Kazini na siyo Siasa lakini kubwa kuliko yote umshauri tu kuwa kuzuia FREEDOM OF EXPRESSION na INTERNET FREEDOM nchini Tanzania ni sawa sawa na kuwazuia Wana wa Mungu kuiona PARADISO kwa kusema ukweli na kuwa wawazi.

Ni upuuzi uliuotukuka kabisa Mtu mzima kuhangaika na matatizo ya Mtu aliyepo Ulaya wakati hapa hapa tu Magogoni na Mzizima kuna matatizo lukuki.
Mkuu barikiwa kwa hili neno la hekima.
 
Unadhani chadema anauwezo wa kuongoza nchi??
Hatuwezi kuuza nchi yetu kwa kuwakabidhi wapiga deal waongoze nchi?
Usafi wa mtu unaanzia yeye mwenyewe kisha ndani kwake.
Chama kina nusu karne kina nini cha kujivunia? ??
Uwezo upo ndio maana mnaogopa kuachia uwanja wazi wa siasa mkiijua mtapigwa asubuhi na mapema. Niambie mtu wenu ana usafi gani?. Rudiseheni pesa ya rambirambi. Tukutananeni 2020 mtatapika rambirambi aisee.
 
Huyu mange siku akikanyaga tz cjui pale JNIA itakavo kuwa sipat picha
 
Huu ni ushauri wa bure kwa CCM. Kama mnataka mjikite katika masuala ya kichama ni bora tuhuma ambazo zimekuwa zikiibuliwa na Mange mkaziacha kuzijibu, kwani anavyoonekana ataibua nyingi na tena za kutosha, hivyo mnaweza kila siku mkakalia kuita waandishi wa habari kumjibu.

Hivi fikiria kama ile inayomhusu first lady, mtawezaje kuijibu?
 
Back
Top Bottom