Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

nishachoma yangu kitambooo, kwenye politics Mange namuaminia, kama kuna watu bado Wana support CCM mpaka leo basi wapimwe
 
Chizi huyu anatanga na njia anahangaika.


We wamuona chizi lakini ujumbe anaopeleka kwa wafuasi na wasomaji wa social media unaweza kuwa na impact hasi kwa status quo!
Juzi kwenye harusi watu wanakataa kusikia sauti tu! Leo huyu anachoma kadi bayana mtandaoni! Funguka bro, jana sio leo.
 
100%, tunamdharau na kumpuuza coz tunajua matatizo ya akili aliyonayo.
Mh, anaandika vitu vyenye hoja, labda kwa vile she is against CCM. Lakini anaonekana alikuwa mfuasi mwema wa CCM, hata lile vazi la chama nimeona picha anavaa! Nadhani kuna kitu mlimkorofisha kuhusu "ulaji". Ni "kichaa" lakini........
 
1482128139976.jpg
1482128145000.jpg
1482128150323.jpg
1482128161331.jpg
 
100%, tunamdharau na kumpuuza coz tunajua matatizo ya akili aliyonayo.
Serikali inapambana naye kujibishana na kukanusha asemayo wewe unampuuza kwa sababu unaona ana matatizo ya akili. Sasa hapo ndio penye utata, kati yako na serikali nani anahayo matatizo kwani munamchukulia tofauti mtu mmoja.
Angalia habari zile kuwa msaidizi mkuu alitaka kuachia ngazi zilivyo tetemesha na kutumika nguvu kubwa kuzizima jee huoni kuwa wao hawajamchukulia kuwa ana matatizo ya akili?
 
Mh, anaandika vitu vyenye hoja, labda kwa vile she is against CCM. Lakini anaonekana alikuwa mfuasi mwema wa CCM, hata lile vazi la chama nimeona picha anavaa! Nadhani kuna kitu mlimkorofisha kuhusu "ulaji". Ni "kichaa" lakini........
hahahhahhah.... anapitia kipindi kigumu sana anahitaji councelling
 
Kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiichoma kadi yake ya ccm huku akiongea na mwanae kuhusu mambo ya udikteta Tanzania.

Naona ananyea kambi.
Anachoma kadi kwa mbwembwe.Siku TRUMP akimtimua Marekani mkuku atatukuta wana CCM AIRPORT tukimsubiri kwa hamu
 
Hatari Sana, Mwanachama Hata Mmoja Anapoondoka Kwenye Chama ni Pengo
Ni bora ameondoka maana hata Mungu enzi zile ilikuwa mmoja akiugua ugonjwa wa ajabu mkubwa alipaswa kutengwa na jamii, pasiposhaka huyu bi dada anao ule ugonjwa wa akina Lema, Msigwa, na wengine wa kuhitaji kupelekwa Dodoma ya Milembe. Tunamtakia kila lakheri na matibabu
 
Huyu Dada ni balaa, nilisoma moja ya post zake kule insta.....wallah nimemkoma.........kama hii ndio njia ya kutuomba msamaha kwa kumtukana mgombea wetu kipindi ile ya Kampeni, basi amekuja na speed Kali.
Ha ha ha amekuja kivingine..kwangu Ni kigeugeu..
 
Back
Top Bottom