Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Sikutegemea kama Polepole ange mu attack Mange kwa mambo yake binafsi, kwanza kama ni jambo dogo hakuwa na haja ya kujibu, nadhani huyo Mange ata wafukunyua hao kina pole pole hadi vyumbani mwao. Yaan Katibu wa itikadi naye kajiingiza kwenye mambo ambayo ilibidi wafanya kina le mutuz.
 
Hapana.Umefanya kosa kubwa sana kumdhihaki Rais wetu kwa kumu-address kama "MUNGU".UTAKUWA UMETENDA DHAMBI MARA MBILI.KWANZA KWA KUMKOSEA HESHIMA NA UTUKUFU MUNGU WETU HALISI AMBAYE NDIYE MUUMBA WA KILA KITU(KUMBUKA KWAMBA MUNGU HALISI NI MUNGU MWENYE WIVU)USILITAJE JINA LAKE OVYO NA KUMLINGANISHA NA KIUMBE CHOCHOTE.pili, UMEIDHARAU "MAMLAKA"ILIYOWEKWA NA MUNGU DUNIANI.HIVYO HATA KAMA ULIKUWA NA HOJA YENYE NGUVU YA KUMKOSOA RAIS,UMEHARIBU MAANA YOOTE PALE ULIPOMUITA RAIS "MUNGU".
Haya sabatho imeingia nenda ukasali
 
Kwa kweli mange anawahenyesha kijani na boss wao kwa kutumia mitandao na bahati nzuri hamna namna ya kuzima insta na whatsapp,wameshikwa pabaya kweli this time na hiyo operesheni yake angalieni isihamie nyumba kwa nyumba..hapo ndo mtajua tone la chumvi kwenye chumvi(bahari)= chumvi square
 
Sikutegemea kama Polepole ange mu attack Mange kwa mambo yake binafsi, kwanza kama ni jambo dogo hakuwa na haja ya kujibu, nadhani huyo Mange ata wafukunyua hao kina pole pole hadi vyumbani mwao. Yaan Katibu wa itikadi naye kajiingiza kwenye mambo ambayo ilibidi wafanya kina le mutuz.

Ni kweli Polepole kamjibu huyo dada? Kuna chanzo cha kuaminika kilichoripoti hilo?
 
Kama hawatomjibu basi tutawasahau maana chama kimebakiza matamko,kujibu tuhuma na panga pangua basi ndio uwezo wao ulipoishia acha wehu watifuane.
 
huu ni ushari Wa bure kwa ccm. kama mnataka mjikite katika masuala ya kichma ni bora tuhuma ambazo zimekuwa zikiibuliwa ni Mange mkaziacha kuzijibu, kwani Anavyoonekana ataibua nyingi na tens za kutosha, hivyo mnaweza kila siku mkakalia kuita waandishi Wa habari kumjibu.

Hivi fikiria kama ile inayomhusu first leady we utawezaje kuijibu?
ni kweli hakuna sababu ya kumjibu mange officially, polepole atuachie sisi humuhumu, atapoteza muda kujibizana na mashangi ya mjini.
 
Sindano imegusa mfupa
Hahahaaaaaa
Sasa hivi wanahanya hawana namna Mange anawahesha hatari wanatamani hata kumuua ila huko alipo tofauti na hapa wanapoua watu na kuwatupa mitoni na kusema ni wahamiaji haramu... Ebo kumbe wahamiaji haramu hawapaswi kuishi???
 
huu ni ushari Wa bure kwa ccm. kama mnataka mjikite katika masuala ya kichma ni bora tuhuma ambazo zimekuwa zikiibuliwa ni Mange mkaziacha kuzijibu, kwani Anavyoonekana ataibua nyingi na tens za kutosha, hivyo mnaweza kila siku mkakalia kuita waandishi Wa habari kumjibu.

Hivi fikiria kama ile inayomhusu first leady we utawezaje kuijibu?
Yaache majinga si hayajitambui? Aliyelala usimwamshe ukimwamsha utalala wewe
 
ni kweli hakuna sababu ya kumjibu mange officially, polepole atuachie sisi humuhumu, atapoteza muda kujibizana na mashangi ya mjini.
Kwani humu amekujaje kutoka huko? Teheheh....!!
 
Poor thing!

Hilo ndo tatizo la low information folks.

Mimi nimeomba chanzo cha kuaminika wewe umeenda kuniletea mada aloanzisha Msaga Sumu.

Good grief!
Ever think, since when have umeanza kuwa tomaso?
Poor thing!

Hilo ndo tatizo la low information folks.

Mimi nimeomba chanzo cha kuaminika wewe umeenda kuniletea mada aloanzisha Msaga Sumu.

Good grief!
 
Back
Top Bottom