Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Kawashika makalio na anawanyonya mate vibaya sanaaaaaa.
Mnabwela sahizi
 
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Copy and paste from whats app group:

1. She is medically ill (Bipolar disorder)- Ugonjwa wa akili unaombatana na tabia za sonono na ukichaa japo mtu anaweza kuonekana yuko fresh kwa muonekano..

2. She is a mother of 3 but divorced and Jobless.

3. Hana muda wa kupikia watoto kwa u busy kutokana na kutumia muda mwingi on social networks and blogs kutafuta infos za watu maarufu na siasa bongo..This fact from her show offs za lifestyle yake posted on her IG page.

4. Inasemekana amesoma vizuri from Bongo degree to MBA in Dubai but still unemployed.

5. Alikuwa na kesi zaidi ya 20 za utapeli kupitia BONGOLICIOUS iliyojihusiha na urembo na fasheni na kesi nyingine zikuhisiana na kuwachafua (Defaming) watu maarufu na wanasiasa.

6. Mwaka 2015 aliwekwa korokoroni (Cell) zaidi ya masaa 48 na kutolewa kwa dhamana kwa kesi ya kuchafua watu mitandaoni aliporudi TZ.

7. Alikuwa mgombea wa ubunge kwenye kura za maoni jimbo la Ubungo kupitia CCM..Alibwagwa vibaya na kutokomea kusikojulikana..Kwa sasa ni mwanaharakati mtandaoni i.e. freedom of speech asiyekuwa na chama (Ameshachoma kadi yake ya CCM) huku akiisema vibaya serikali na kuisifia ukawa (Inawezekana baada ya kukosa alichokitaka kutoka ccm)

8. Alishatishiwa kuuawa kwa bastola hadharani na kesi iliripotiwa police..Inawezekana kwa sababu ya kumtukana mtu.

9. Ni mtoto wa nje wa marehemu mzee KIMAMBI, pia ni mtoto wa kambo wa DR. Mwele Malecela aliyetumbuliwa pale NIMR baada ya kuolewa na mzee KIMAMBI alifukuzwa nyumbani.

10. Mtoto wake wa kwanza amechukuliwa na baba yake na anaishi mbali na MANGE Inawezekana kutokana na malezi yasiyomfurahisha baba yake.

MY TAKE:She insults people, bullying and spread hate on social media just because she is a DESPERATE SINGLE MOTHER.
Mange's+Jaguar.jpg
personal attack, sema dada mzuri hata leo akitaka mume bora anapata

mkuu wako hamtamani? check uno hilo


choma kadi za ccm zooooote
 
Sikuwahi kuwa na kadi ya magamba.
Hata hivyo asitarajie magamba halisi kufanya hivyo.
 
Mage sijawahi kujutia kumfuatilia post zake

Yaani picha zake nimeziweka screen saver

Mage angetakiwa azaliwe Marekani angetimiza ndoto zake za kuwa CIA
 
Kwa hiyo uchizi wake umeanza baada ya kuanza kuishambuliia serikali ya awamu ya 5!! The same person alikuwa akitoa lugha chafu dhidi ya mgombea wa UKAWA na alipata support toka kwa wafuasi wa chama dola. Chizi hana jalala moja....

KADA
Ndugu acha kuumiza kichwa na hii thread we fikiri kama ni chizi mbona alipewa nafasi kugombea nafasi ya ubunge na hao hao ccm mange ni jitu la mpingo sasa linawaingia vizur watakuja wengi tu wakipiga yowe jiti ilo likiwachoma vizur
 
Who is mange kimange?? Anaishi tz hapa?? Anatibiwa hospital za tz hapa?? Alipiga kura?? Alikuwa na mchango gani ndani ya chama?? Mara ya mwisho alilipia lini kadi yake??ana mchango gani kwa taiga?? Ameshawahi kuwa hata Kiongozi wa mtaa??
Wewe tuma video kwake tu, mambo mengine hayatuhusu.
 
Yule dada anatafuta analake anajua akikashifu serikali siku ya kutaka kurudishwa anasema Mimi wanted Tz wazungu wanathamini hicho kitu hawatomrudisha anagalieni Sana watz mnaomsapoti huyu dada mwenzenu ananjijengea yake wewe fwata mkumbo
 
Itakuwa nasikia kuna digital card mpya za ccm zinakuja na hatopata ndio kaichoma moto... So hakuna jipya... She she kwa Slaa kadi yake haito tumika tena
 
Back
Top Bottom