habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
watanzania wamefanya nini? sema CCM sio ya mchezohahaaha huuu wimbo ulitamba sana 2015 lakini alitoka kapa...watanzania sio watu wa mchezo mchezo.
watanzania wamefanya nini? sema CCM sio ya mchezohahaaha huuu wimbo ulitamba sana 2015 lakini alitoka kapa...watanzania sio watu wa mchezo mchezo.
.....Tunachoma moto ili tupate mpya za ki-electronic....
Keshaisoma namba sasa anahaha hana lolote!!Huyu Dada ni balaa, nilisoma moja ya post zake kule insta.....wallah nimemkoma.........kama hii ndio njia ya kutuomba msamaha kwa kumtukana mgombea wetu kipindi ile ya Kampeni, basi amekuja na speed Kali.
Hao akina mange na wenzao wallioko nje hawajielewi wanachoma kadi za CCM chama tawala halafu kesho unakuta wanaipigia magoti CCM na serikali ya CCM Eti iwasaidie kupata uraia wa nchi Mbili!!!!!!! Paradox!!!!!!!!!!!kadi ushachoma?
CCM hata ikikwambia uvue nguo utembee uchi utavua tu maana hata wewe hujielewiHao akina mange na wenzao wallioko nje hawajielewi wanachoma kadi za CCM chama tawala halafu kesho unakuta wanaipigia magoti CCM na serikali ya CCM Eti iwasaidie kupata uraia wa nchi Mbili!!!!!!! Paradox!!!!!!!!!!!
Endelea kusema wasakatonge baadaye utaelewa naona bado akili haijakukaa sawaUnyasi mmoja ukichomoka nyumba haiwez kuvuja
WASAKATONGE HAO
Wacha we!UJINGA MTUPU. ccm IKO IMARA JANA LEO NA KESHO
Hivi ccm imekufanyia nini mpk sasa?Hao akina mange na wenzao wallioko nje hawajielewi wanachoma kadi za CCM chama tawala halafu kesho unakuta wanaipigia magoti CCM na serikali ya CCM Eti iwasaidie kupata uraia wa nchi Mbili!!!!!!! Paradox!!!!!!!!!!!