Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,442
- 4,392
Watajijua!Naomba kuuliza,hivi kadi zinaruhusiwa kuchomwa kisheria? Au zinapaswa kurudishwa kwa chama husika.?
Nitoeni tongotongo mwenzenu.
Watajijua!Naomba kuuliza,hivi kadi zinaruhusiwa kuchomwa kisheria? Au zinapaswa kurudishwa kwa chama husika.?
Nitoeni tongotongo mwenzenu.
Aliibiwa kura, alikuwa ameshinda, kwa kuhama na wanachama walileta effect ( quote from By Lowasa)Kuchoma kadi then wanachama wanapungua? Watu walihama chama wakati wa uchaguzi lakini chama kwanza kinastawi.
Lowasa alihama na wanachama lakini wapi chama kiko imara kama ngongoti.
Operation,sangara,m4c,ukuta,zilipangwa lakini chama bado ni mhimiri imara usioyumba eti mange kachoma kadi,nae anahisi kafanya hot issue.she knows nothing ccm.
Sasa kumbe Mange kuchoma yake "haina impact" yeyote!!
Ana wafuasi wengi sana.Akija kwetu tunamfanya mgombea urais 2020.We unamuona chizi, lakini amini usiamini ana umaarufu na wafuasi wengi kuliko wewe Mzima
Kadi ni mali ya chama .... anaweza kukamatwa na kushtakiwa kwa kosa la kuharibu mali ya chama
Ngoma ya watoto haikeshiOpereni choma moto kadi ya ccm iliyoanzishwa na mange kimambi kule instagram imeanza kupamba moto ndani ya mitandao ya kijamii hususan facebook. twitter na instagram
Sasa ndo nimeamini rasmi kwamba ni jinsi gani watu walivyoichoka ccm na serikali
Ninini kulikoni?
jibu mnalo
Kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiichoma kadi yake ya ccm huku akiongea na mwanae kuhusu mambo ya udikteta Tanzania.![]()
Malofa na wapumbavu ndio hufanya haya alafu tunawasubiri kwenye boksi la mpiga kura tunawafunga midomo.Opereni choma moto kadi ya ccm iliyoanzishwa na mange kimambi kule instagram imeanza kupamba moto ndani ya mitandao ya kijamii hususan facebook. twitter na instagram
Sasa ndo nimeamini rasmi kwamba ni jinsi gani watu walivyoichoka ccm na serikali
Ninini kulikoni?
jibu mnalo
hahaaha huuu wimbo ulitamba sana 2015 lakini alitoka kapa...watanzania sio watu wa mchezo mchezo.ooooooh Lowasa huyo, ooooh Lowasa huyo
akina baba - Lowasa
mashuleni - Lowasa
misikitini - Lowasa
makanisani - Lowasa
akina mama - Lowasa
vijana - Lowasa
na watoto - Lowasa
ooooh Lowasa huyo, ooooh Lowasa huyo
by msaga sumu