Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Kweli mdau,Huyu Mange huyu huko Insta mmmhWe unamuona chizi, lakini amini usiamini ana umaarufu na wafuasi wengi kuliko wewe Mzima
Kweli mdau,Huyu Mange huyu huko Insta mmmhWe unamuona chizi, lakini amini usiamini ana umaarufu na wafuasi wengi kuliko wewe Mzima
Basi kaa kimya hadi huo wakati vinginevyo ama nchi au kufa!Mtahama ninyi.siku ukawa ikichukua nchi.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Atakuwa keshakuwa raia wa hiyo nchi na keshaukana uraia wa TZ maana hata akija aje na visa ya watalii na akae hotelini.Mwananchi wa Tanzania aishiye ng'ambo
Ndicho chama tawala.Km hupendi ama hama nchi au kufa!Vinginevyo pilipili isiyo yako yakuwashia nini?!Kweli wewe ni tahira,nihame nchi kwasababu ya ccm? Ukapimwe akili.
Ndicho chama tawala.Km hupendi ama hama nchi au kufa!Vinginevyo pilipili isiyo yako yakuwashia nini?!
Mwehu yule hivi tumeishiwa namna hii mpaka tuanze kumjadili humu?leteni hoja za maana basiKutokana na kuchoshwa na ahad hewa na kuzuia demokrasia na mtukufu kula pesa za tetemeko kagera na kumfungia maxence melo hii ni kampen imekuwa nzur zaid kuonesha kuchukizwa na matendo hayo kwa KUANZA na kuchoma kad za uanachama wa ccm
Ameandika hiv mange
@Regrann from @mangekimambi_ - It's official, sina chama......
.
.
[HASHTAG]#Opereshenichomakadiyaccm[/HASHTAG]
.
.
Kama na wewe unapinga udikteta wa Magufuli, kama unataka [HASHTAG]#Bungelive[/HASHTAG], kama unapinga kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari, kama unapinga watanzania kunyimwa uhuru wa kujieleza, kama unapinga wabunge wa CCM kupitisha sheria zinazokiuka haki za binadamu, kama umechoka kuona wabunge wa CCM wakisaidia chama na sio mwananchi, kama unapinga MaxMelo wa jamiiforums kukamatwa, kama unapinga Lema kuwa ndani mpaka leo sababu ya maono/ndoto, kama unapinga wabunge wa upinzani kufukuzwa bungeni , kama umechoka na ahadi za CCM , kama umechoka umaskini, kama ni mwanafunzi umerudi nyumbani kwa kukosa mkopo, kama wewe ni mwalimu wa sanaa, kama unasubiria ajira ya serikalini toka mwaka jana, kama biashara yako imekufa sababu ya makodi, kama ulisikitika mwenyekiti wa CCM kupiga panga pesa za mchango wa Kagera, kama umechoka umaskini, kama unataka kuona system MPYA Tanzania in 2020. Kwa kifupi kama umechoka na ungese wa CCM basi ntumie video yako ukichoma kadi yako ya CCM.... Maana wanadhani wanaowakosoa ni wapinzani kumbe wanakosolewa na watanzania wasiojali vyama bali nchi yao..
.
.
Tukitaka kuandama wanatishia kututoa uhai. Kuna njia zingine za kuwaonyesha hatuko nao. Njia moja ndo hii [HASHTAG]#OpereshenichomakadiyaCCM[/HASHTAG]
.
.
Ntumie video yako kwa whatsapp +1 310 855 4352
.
.
.
.
PS: ni kadi ya 2015 coz nilipoteza ya zamani.... - [HASHTAG]#regrann[/HASHTAG]
Ushauri tu kwa wahamasishaji kama hawa na wahasishwaji unatakiwa sana Ku kumbuka kuna sheria,kanuni na taratibu ktk nchi hii zinazoongoza utaratibu wa utawala.Kutokana na kuchoshwa na ahad hewa na kuzuia demokrasia na mtukufu kula pesa za tetemeko kagera na kumfungia maxence melo hii ni kampen imekuwa nzur zaid kuonesha kuchukizwa na matendo hayo kwa KUANZA na kuchoma kad za uanachama wa ccm
Ameandika hiv mange
@Regrann from @mangekimambi_ - It's official, sina chama......
.
.
[HASHTAG]#Opereshenichomakadiyaccm[/HASHTAG]
.
.
Kama na wewe unapinga udikteta wa Magufuli, kama unataka [HASHTAG]#Bungelive[/HASHTAG], kama unapinga kuminywa kwa uhuru wa vyombo vya habari, kama unapinga watanzania kunyimwa uhuru wa kujieleza, kama unapinga wabunge wa CCM kupitisha sheria zinazokiuka haki za binadamu, kama umechoka kuona wabunge wa CCM wakisaidia chama na sio mwananchi, kama unapinga MaxMelo wa jamiiforums kukamatwa, kama unapinga Lema kuwa ndani mpaka leo sababu ya maono/ndoto, kama unapinga wabunge wa upinzani kufukuzwa bungeni , kama umechoka na ahadi za CCM , kama umechoka umaskini, kama ni mwanafunzi umerudi nyumbani kwa kukosa mkopo, kama wewe ni mwalimu wa sanaa, kama unasubiria ajira ya serikalini toka mwaka jana, kama biashara yako imekufa sababu ya makodi, kama ulisikitika mwenyekiti wa CCM kupiga panga pesa za mchango wa Kagera, kama umechoka umaskini, kama unataka kuona system MPYA Tanzania in 2020. Kwa kifupi kama umechoka na ungese wa CCM basi ntumie video yako ukichoma kadi yako ya CCM.... Maana wanadhani wanaowakosoa ni wapinzani kumbe wanakosolewa na watanzania wasiojali vyama bali nchi yao..
.
.
Tukitaka kuandama wanatishia kututoa uhai. Kuna njia zingine za kuwaonyesha hatuko nao. Njia moja ndo hii [HASHTAG]#OpereshenichomakadiyaCCM[/HASHTAG]
.
.
Ntumie video yako kwa whatsapp +1 310 855 4352
.
.
.
.
PS: ni kadi ya 2015 coz nilipoteza ya zamani.... - [HASHTAG]#regrann[/HASHTAG]
pia atakuwa na alzheimer's disease au dimentia iliyopelekea asahau kumeza haloperidol na carbamazepine zake na sasa tunauona mcharuko.Mange ana tatizo la Bipolar disorder,talaka,kukosa pesa,kuishi katika maisha ya hali ya chini vyote hivyo vimemsababishia Bipolar disorder.
Mbona hata Dr. Slaa anayo kadi ya ccm hadi leo. Tatizo liko wapi?Kama lowsssa aligoma kutupa yake tatizo lolo wapi, acha wajumbe wa chadema waendelee kuwa wanachama wa sisiemu.
Mpaka mnaweka wanajesh huon wachezaji wameisha?Kaondoka Kingunge Kadi no. Nane ya CCM, Mwandishi Mkuu wa Propaganda za Chama, Mtu alietumikia Chama kwa 60 years akaondoka lakin Chama kipo tu!