Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

Umejiandaa vizuri lakini mkuu!
Hakujiandaa lolote, huwezi sema kuwa mtu ana ukichaa halafu umalizie kwa kusema kuwa tabia yake ya kutukana watu ni kwa sababu "she's a desperate single mother". Ina maana wakati mwandishi anamalizia hoja yake huyu Mange tayari alishapona ukichaa!
 
Copy and paste from whats app group:

1. She is medically ill (Bipolar disorder)- Ugonjwa wa akili unaombatana na tabia za sonono na ukichaa japo mtu anaweza kuonekana yuko fresh kwa muonekano..

2. She is a mother of 3 but divorced and Jobless.

3. Hana muda wa kupikia watoto kwa u busy kutokana na kutumia muda mwingi on social networks and blogs kutafuta infos za watu maarufu na siasa bongo..This fact from her show offs za lifestyle yake posted on her IG page.

4. Inasemekana amesoma vizuri from Bongo degree to MBA in Dubai but still unemployed.

5. Alikuwa na kesi zaidi ya 20 za utapeli kupitia BONGOLICIOUS iliyojihusiha na urembo na fasheni na kesi nyingine zikuhisiana na kuwachafua (Defaming) watu maarufu na wanasiasa.

6. Mwaka 2015 aliwekwa korokoroni (Cell) zaidi ya masaa 48 na kutolewa kwa dhamana kwa kesi ya kuchafua watu mitandaoni aliporudi TZ.

7. Alikuwa mgombea wa ubunge kwenye kura za maoni jimbo la Ubungo kupitia CCM..Alibwagwa vibaya na kutokomea kusikojulikana..Kwa sasa ni mwanaharakati mtandaoni i.e. freedom of speech asiyekuwa na chama (Ameshachoma kadi yake ya CCM) huku akiisema vibaya serikali na kuisifia ukawa (Inawezekana baada ya kukosa alichokitaka kutoka ccm)

8. Alishatishiwa kuuawa kwa bastola hadharani na kesi iliripotiwa police..Inawezekana kwa sababu ya kumtukana mtu.

9. Ni mtoto wa nje wa marehemu mzee KIMAMBI, pia ni mtoto wa kambo wa DR. Mwele Malecela aliyetumbuliwa pale NIMR baada ya kuolewa na mzee KIMAMBI alifukuzwa nyumbani.

10. Mtoto wake wa kwanza amechukuliwa na baba yake na anaishi mbali na MANGE Inawezekana kutokana na malezi yasiyomfurahisha baba yake.

MY TAKE:She insults people, bullying and spread hate on social media just because she is a DESPERATE SINGLE MOTHER.
Mange's+Jaguar.jpg
Nadhani kila mmoja na wewe ukichambuliwa tutapata 10 facts about you and each of us! Sioni tabu kwa hayo, labda ukichaa, mengine ni ya kawaida.
 
Wakati anamtusi mgombea wa UKAWA na kumpigia chapuo Juma ulikuwa upande wake au?

KADA
ooookyy kumbe alishawahi kuwatukana mkapiga kimyaa, kaitukana ccm mnashikia bendera¿ kama zinafanya kwa ufasaha mgelimwita kigeugeu wala si support mnayomnyima lowassa na kumpa mange,
 
Naomba kuuliza,hivi kadi zinaruhusiwa kuchomwa kisheria? Au zinapaswa kurudishwa kwa chama husika.?

Nitoeni tongotongo mwenzenu.
Kuchoma alama rasmi za chama cha siasa kama kadi au bendera ya chama ni kosa. T-shirt na mabango si kosa.
 
Huyu hafai hata kuwa mke wa mtu kwa tabia zake, bora aendelee kujiuza tu.
 
Wengine watachoma kufuata mkumbo ili watume video baadae wajute maana hawaelewi kwanini wawe nayo ama wasiwe nayo.
 
Hivi Kama kweli kichaa ukibishana na kicha sasa na we utakuwa Nani? [emoji125][emoji40]
 
Kuchoma kadi hakitawasaid is chochote nyie nyumbu jengeni chama chenu muache maigizo, miaka 25 sasa pamoja na ruzuku kubwa kila mwezi bado chama kimepanga kichochoroni [HASHTAG]#shem[/HASHTAG]
We ndugu inaonekana hata huelewi kinachojadiliwa hapa
Kwa kukusaidia ni kwamba mjadala uliopo mezani ni juu mwanaccm aliyeanzisha kampeni ya kuchoma kadi ya ccm.
 
For me nadhan mange anatafuta kiki tu nothing else
Hapana labda kiki ndo imtafute mange labda utaona nguvu ya mange kwenye social media badae sio sasa kwakua uelewi kuna power gani ngoja utashika kichwa lazima ccm wafikilie cha kufanya mtaelewa naona we bado umelewa madaraka ndani ya chama cha mapinduzi yaliyofanyika zanzibar
 
Haha mkishikwa pabaya mnakimbiliaga character assassination. Wacha awasomeshe number za kijani na njano
 
Alipokuwa anawatukana akina Lowassa na viongozi wengine wa upinzani mwaka jana mlikuwa mnamshangilia na kumpigia makofi.. Leo amewageuka mnamtangaza mgonjwa na yuko desperate..

Niliwaambia sifa moja kuu ya chizi ni kwamba hana jalala moja, mkabisha.. Oneni sasa anavyowavua nguo hadharani.. Na uzuri ni kwamba masheria yenu ya mitandao hamuwezi kumpata wala kumzuia hata kidogo.. Ngoma haitaki hasira hii..
Hata mie hivi ss hawanipati ng'oo wakati anamtukana Lowassa alikua mzima kageukia upande wa pili anaitwa mgonjwa tulieni tuli kama mnanyolewa.
 
Back
Top Bottom