Serikali inapambana naye kujibishana na kukanusha asemayo wewe unampuuza kwa sababu unaona ana matatizo ya akili. Sasa hapo ndio penye utata, kati yako na serikali nani anahayo matatizo kwani munamchukulia tofauti mtu mmoja.
Angalia habari zile kuwa msaidizi mkuu alitaka kuachia ngazi zilivyo tetemesha na kutumika nguvu kubwa kuzizima jee huoni kuwa wao hawajamchukulia kuwa ana matatizo ya akili?
KuzimuCcm.inaelekea wapi jaman?
HOW???YEYE MWENYEWE KICK ALAFU ATAFUTE KIKI KWAKO AMBAYE HATA HAJUI KAMA UNA EXISTFor me nadhan mange anatafuta kiki tu nothing else
SHANGAA WWSijui Kiki gani unahisi hajaipata, huyo Ndio alisema makamu wa Rais kajiuzulu, ikulu yenyewe ilibidi ikanushe, sasa kuna Kiki zaidi ya hiyo? Chama chenu pendwa sasa kimepotea huo Ndio ujumbe
Citizens of the U.S. flash a passport issued by the federal government to prove national origin when visiting foreign countries. Even though a green card holder permanently resides in the United States, proof of citizenship is needed to obtain a U.S. passport.Kule wana utawala wa haki na sheria. Ukishapata green card, no body can revoke it! Huwezi kumwambia mtanzania kuwa wewe si mtanzania, !!! huwezi kumwambia mwamerika kuwa wewe siyo mwamerika. She is a USA citizen/national!
si bora usingepoteza muda wako kuandika ulichokiandika jaman aaaaagh we ndo tukuulize who are you ?/Who is mange kimange?? Anaishi tz hapa?? Anatibiwa hospital za tz hapa?? Alipiga kura?? Alikuwa na mchango gani ndani ya chama?? Mara ya mwisho alilipia lini kadi yake??ana mchango gani kwa taiga?? Ameshawahi kuwa hata Kiongozi wa mtaa??
Ebu nieleweshe please, penye red!Citizens of the U.S. flash a passport issued by the federal government to prove national origin when visiting foreign countries. Even though a green card holder permanently resides in the United States, proof of citizenship is needed to obtain a U.S. passport.
Alipotaka kuja kugombea ubunge kumbe angekuwa 'muwekezaji'?
Who is mange kimange?? Anaishi tz hapa?? Anatibiwa hospital za tz hapa?? Alipiga kura?? Alikuwa na mchango gani ndani ya chama?? Mara ya mwisho alilipia lini kadi yake??ana mchango gani kwa taiga?? Ameshawahi kuwa hata Kiongozi wa mtaa??[/QUOT
Usitudanganye kuwa ndani ya ccm kuna mwanachama hai. Kule kuna wanachama wa maslahi hupewa kadi bure kipindi cha kura za maoni na uchaguzi ndani ya chama. Mgombea ndiye hulipia kadi na ada na kumpatia mtu ili ampigie kura. Kati ya wanaccm 10 mmoja tu ndiye anailipia kadi yake lakini hao 9 ni hewa wapo kwa kulipiwa kadi. Sasa twambie huo ndo uanachama? Tena hata wewe ndo hivyo
Ndani ya ccm kati ya wanaojiita wanaccm 10 mmoja tu ndiye mwanaccm na 9 ni hewani waliopewa kadi na kulipiwa ada na wagombea ndani ya chama ili wapate kuwapigia kura.Who is mange kimange?? Anaishi tz hapa?? Anatibiwa hospital za tz hapa?? Alipiga kura?? Alikuwa na mchango gani ndani ya chama?? Mara ya mwisho alilipia lini kadi yake??ana mchango gani kwa taiga?? Ameshawahi kuwa hata Kiongozi wa mtaa??