Mange achoma moto kadi ya CCM live

Mange achoma moto kadi ya CCM live

stress zake za kuachika anamalizia kwa watu hata hawahusiki na kuachwa kwake!kweli ukioa kitu kama hii unakufa na presha kabisa!huyu hastahili kuishi katika jamii iliyo na wastaarabu
 
Hawa akina Mange wa kuwa nao makini hawa wanatafuta fursa za Matumbo yao hivi angepata ulaji CCM angechoma kadi kweli? Hawa ndio waliomuweka Magu madarakani sasa hivi wanaisoma namba.Walifikiri sisi ndo tutaisoma namba?
 
Alipokuwa anawatukana akina Lowassa na viongozi wengine wa upinzani mwaka jana mlikuwa mnamshangilia na kumpigia makofi.. Leo amewageuka mnamtangaza mgonjwa na yuko desperate..

Niliwaambia sifa moja kuu ya chizi ni kwamba hana jalala moja, mkabisha.. Oneni sasa anavyowavua nguo hadharani.. Na uzuri ni kwamba masheria yenu ya mitandao hamuwezi kumpata wala kumzuia hata kidogo.. Ngoma haitaki hasira hii..
 
Kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiichoma kadi yake ya ccm huku akiongea na mwanae kuhusu mambo ya udikteta Tanzania.
1bc220c42188ac82c80e670133373573.jpg

'Due to technological advance, a Leopard can change to become tigress by DNA mutation'
 
Ukianza Kuorodhesha Watu Aliowadhalilisha Huyu Dada Ni Balaa. Mtu Mwenyewe Ukmwona Anatia Sana Simanzi
 
Greatest fact about mleta mada :
Ww ni mmbea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Copy and paste from whats app group:

1. She is medically ill (Bipolar disorder)- Ugonjwa wa akili unaombatana na tabia za sonono na ukichaa japo mtu anaweza kuonekana yuko fresh kwa muonekano..

2. She is a mother of 3 but divorced and Jobless.

3. Hana muda wa kupikia watoto kwa u busy kutokana na kutumia muda mwingi on social networks and blogs kutafuta infos za watu maarufu na siasa bongo..This fact from her show offs za lifestyle yake posted on her IG page.

4. Inasemekana amesoma vizuri from Bongo degree to MBA in Dubai but still unemployed.

5. Alikuwa na kesi zaidi ya 20 za utapeli kupitia BONGOLICIOUS iliyojihusiha na urembo na fasheni na kesi nyingine zikuhisiana na kuwachafua (Defaming) watu maarufu na wanasiasa.

6. Mwaka 2015 aliwekwa korokoroni (Cell) zaidi ya masaa 48 na kutolewa kwa dhamana kwa kesi ya kuchafua watu mitandaoni aliporudi TZ.

7. Alikuwa mgombea wa ubunge kwenye kura za maoni jimbo la Ubungo kupitia CCM..Alibwagwa vibaya na kutokomea kusikojulikana..Kwa sasa ni mwanaharakati mtandaoni i.e. freedom of speech asiyekuwa na chama (Ameshachoma kadi yake ya CCM) huku akiisema vibaya serikali na kuisifia ukawa (Inawezekana baada ya kukosa alichokitaka kutoka ccm)

8. Alishatishiwa kuuawa kwa bastola hadharani na kesi iliripotiwa police..Inawezekana kwa sababu ya kumtukana mtu.

9. Ni mtoto wa nje wa marehemu mzee KIMAMBI, pia ni mtoto wa kambo wa DR. Mwele Malecela aliyetumbuliwa pale NIMR baada ya kuolewa na mzee KIMAMBI alifukuzwa nyumbani.

10. Mtoto wake wa kwanza amechukuliwa na baba yake na anaishi mbali na MANGE Inawezekana kutokana na malezi yasiyomfurahisha baba yake.

MY TAKE:She insults people, bullying and spread hate on social media just because she is a DESPERATE SINGLE MOTHER.
Mange's+Jaguar.jpg
KUMBE................................................................. NIMRI
 
Kwa hiyo tufanyeje ,? Inaonekana kawatekenya sasa mnacheka tu.
 
Asifiae mvua humnyea, mnaompa sifa kwa chuki zenu juu ya ccm, ipo siku atawatukana hata nyinyi mafaru John msiojulikana mnakopelekwa
 
Kwa hiyo uchizi wake umeanza baada ya kuanza kuishambuliia serikali ya awamu ya 5!! The same person alikuwa akitoa lugha chafu dhidi ya mgombea wa UKAWA na alipata support toka kwa wafuasi wa chama dola. Chizi hana jalala moja....

KADA
 
Kelele nyingi mitandaoni tukija kwenye box la mpiga kura chaliii...tunawasubiri 2020
Tuwe wakweli uchali huwa halali kabisa??zingatia tume ya uchaguzi isiingiliwe kabisa na iwe na uhuru wote,jeshi la polisi litumike kulinda pekee na si vinginevyo,wakurugenzi,wakuu wa mikoa na wilaya wasihusike na maswala yeyote yale kinyume na muongozo wao wa kazi hasa wakati wa uchaguzi ,makada na makamanda wasishuhulike na chochote zaid ya kupiga kura pekee na kazi ifanywe kwa uaminifu kabisa na wale waluo pewa dhaman kwa wakati huo kwa pande zote zinazo shiriki uchaguzi, hapo ndipo tutakuwa mashujaa kwelikweli pale ushind utakapo chukuliwa na upande wowote kati ya zilizo shiriki tena ushiujaa na maringo ndani yake, lakin kinyume na hapo !!!!!!! REF: ZANZIBAR
 
Back
Top Bottom