Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,174
- 201,257
Naona wametutoa kimipango kabisa
Exacty..itakuwa furaha sana tukiwatoa barcelona.Sawa tu raha ya kuchukua hili kombe upige watu wazito
Ile paper iliyovuja jana wameamua kuipindua tu coz wangeaibika ....GGM tungeazia kwao ilikuwa poa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile paper iliyovuja jana wameamua kuipindua tu coz wangeaibika ....GGM tungeazia kwao ilikuwa poa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui nia yao tuaibike tu kwenye hii duniaAjax vs Juventus
Liverpool vs Porto
Tottenham vs Man City
Barcelona vs Man Utd
Bora tungeangukia mikononi mwa Ajac au Porto au EPL mwwezetu,tuna sifa sn hutu tujamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Lukaku kaumia hana uhakika hata game ijayo na wolves.Sijui man u watajipanga vip hapa aisee
Mungu ni mwema nina imani tutavukaNa Lukaku kaumia hana uhakika hata game ijayo na wolves.Sijui man u watajipanga vip hapa aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu 😆😆😆😆Liverpool kila siku anapewa Porto Tu Daah
Kazi mnayohalafu tunaanzia nyumbani
Tuesday 9 / Wednesday 10 April
Old Trafford
Tuesday 16 / Wednesday 17 April
Nou Camp
Acha wivu