OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,931
- 25,245
Aise unawadharau AjaxI prefer Liverpool, Barca, Man City or Juventus
Will be disappointed if the draw decide us to play Spurs, Ajax or Porto
Sent using Jamii Forums mobile app



Juventus tutakutana naye Fainali.



kupata kichekesho kama ichi piga namba 022278000..Nahic itakua Derby...lets wait keshoView attachment 1045742
Ikitokea ikapangwa hivi itakuwa Quarter Finals zote za ukweli.
Kama manure imemtoa PSG Man City ndo angeshindwa.?Njia ni njia tu mkuu haijalishi unakutana na nani
Juzi hapa city carabao anakutana na vitimu vya daraja la nne huko hadi final
Kaja Fa bado vya championship
Huko uefa hamna hata mwamba aliekutana nae hadi robo final kafika
Kweli kabsa mana mazingra ya Liverpool kunyofolewa yatakua wazi
Sikuoni kule kwenye uzi wetu, tunakusubiri uje utoe pongezi na tathmini ya mchezo.
Liverpool alimfunga wolves mbona cheshiti mechi zote mbili kaambulia point moja? Yaani wolves kachukua point 4 kwa cheshit hivyo ndo tafsi r mpira ilivyo nyie huko kwenu?
Mkuu jana c mchezo hasa 2nd hlf. Ngoja tusubr hiz Fixed draws za kesho
Na mtadondokea kwa city....ila hapa robo fainal inatakiwa city, barca,juve na liverpool watokeSecond half tuliupiga mwingi wale wazee pumzi ilikata kabisa.
Timu zote zilizobaki zina uzito sawa, isipokuwa Barca na City ndo naona kama wako juu kiasi.
Na mtadondokea kwa city....ila hapa robo fainal inatakiwa city, barca,juve na liverpool watoke
Nahic itakua Derby...lets wait keshoView attachment 1045742
Second half tuliupiga mwingi wale wazee pumzi ilikata kabisa.
Timu zote zilizobaki zina uzito sawa, isipokuwa Barca na City ndo naona kama wako juu kiasi.
Mbna hata kwako tunabeba point nne..Liverpool alimfunga wolves mbona cheshiti mechi zote mbili kaambulia point moja? Yaani wolves kachukua point 4 kwa cheshit hivyo ndo tafsi r mpira ilivyo nyie huko kwenu?
Wewe ungeweza kumtoa man city raundi ya 16?Liverpool alimfunga wolves mbona cheshiti mechi zote mbili kaambulia point moja? Yaani wolves kachukua point 4 kwa cheshit hivyo ndo tafsi r mpira ilivyo nyie huko kwenu?
Ila mkuu pamoja na mambo mengine, mimi kama fans wa Man u , nikushukuru kutokana na mchango wako wakuitangaza Man u. Yaani kule liverpool, barca, arsenal threads nimeona kila timu una wish ikutane na man u quarter final.
Messi hazuiliki ndio tatizo.Hapana Barca na City sio tishio, tunajua Liverpool akikutana na City lazima amnyooshe. Barca wanamtegemea sana, ukimzuia Messi umeizuia Barca.
Timu za kuogopa ni Porto na Ajax, hawa hawana chakupoteza, kufika quarter final ni hatua kubwa kwao kwa sasa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapana Barca na City sio tishio, tunajua Liverpool akikutana na City lazima amnyooshe. Barca wanamtegemea sana, ukimzuia Messi umeizuia Barca.
Timu za kuogopa ni Porto na Ajax, hawa hawana chakupoteza, kufika quarter final ni hatua kubwa kwao kwa sasa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Story si ilikuwa hivi kabla psg sijamfurumusha au waganga wakienyeji mmesahau utabir wenu?