Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yan hakuna kitu kinachonikeraga Man U kama Rumours. Rumours kibao lakin hakuna chochote. Kila mchezaji anatajwa anatakiwa na united, nothing done at the end. Madrid au Barca wakihitaji tu mchezaji,hawafany booking wahuni wale, wanalipa hela mkutane mwsh wa msimu mana wanajua hiyo potential inaeza nyakuliwa na wengn. Man U sasa!!! Khaa.
 
Kama unavyosema rumors,Man utd ndio club pekee ambayo mawakala wengi huitumia kwaajili ya wachezaji wao mfano issue ya ramos na cr7 walitembelea mgongo wa utd.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana Barca na City sio tishio, tunajua Liverpool akikutana na City lazima amnyooshe. Barca wanamtegemea sana, ukimzuia Messi umeizuia Barca.
Timu za kuogopa ni Porto na Ajax, hawa hawana chakupoteza, kufika quarter final ni hatua kubwa kwao kwa sasa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Liverpool hamuwezi Man City msimu huu. Elewa tu kuwa City ni tishio kwenye uefa. Na hakuna timu inatamani ikutane nae. City anatishaaaaa. Sibiri tuone.
 
Yan hakuna kitu kinachonikeraga Man U kama Rumours. Rumours kibao lakin hakuna chochote. Kila mchezaji anatajwa anatakiwa na united, nothing done at the end. Madrid au Barca wakihitaji tu mchezaji,hawafany booking wahuni wale, wanalipa hela mkutane mwsh wa msimu mana wanajua hiyo potential inaeza nyakuliwa na wengn. Man U sasa!!! Khaa.
Tatizo yule pimbi ed woodward

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom