Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
Rasmus so far Naona anajitahidi hajalegea kama martial Wacha twende break maana tutapata presha vijana wadogo kwa ajili ya hii Timu.
Nyie matakataka kama kawaida yenu mmekandwa[emoji1787]
Sababu ya kipuuzi mkuuManchester wasipovaa jezi nyekundu kushinda mechi inakuwaga ngumu Sana especially mechi za ugenini
Si muwauze Sasa hao wachezaji mizigoNi kweli...Nilikuwa nikaangalizie bar hii mechi niwatukane mashabiki wa aseno lakini baada ya kumuona Erickson na Martial ngoja niangalizie tu hapa nyumbani.
Akirudisha ordegard upanue tenaRashiiiiiiiid
Mazoezini wanachezaga PAMOJAKosa kubwa kocha alilofanya ni kuwaingiza Maguire na Evans wacheze kwa pamoja kwenye mechi yenye uzito Kama hii wakati hawajai kucheza mechi hata moja.
Kwa kiungo chetu cha leo nacho kimetuua Sana kumchezesha casemiro na ericksen uwaga mechi uwa ngumu sana upande wetu na ukicheki sub amna watu wakusema wataingia kupokea kiungo.
Wan bisaka jamaa kawa wa moto sana kocha afikie wakati kuwa kwenye mechi kubwa na ngumu Antony awe ana muacha amalize dk jamaa akitoka tuna tingwa Sana.
Use.nge mtumu kumamake..
Nyie matakataka kama kawaida yenu mmekandwa[emoji1787]